Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Siku hizi vichaa wanachagua vichaa wenzao!Unatuma ujumbe gani huo kwa wasomi wa Mbeya?
Siku hizi vichaa wanachagua vichaa wenzao!Unatuma ujumbe gani huo kwa wasomi wa Mbeya?
Mbeya ni Mbeya tu mkuu huwezi kucontrol mbeya ukasema ww ni best eti anyway sidhani kama zama za bahati zitakuwepo mana Chairman wa rulling Party hawezi kumuachia Mgombea mwenye elimu ndogo 2025 ,Teuzi zake tu ni maprofessorWatu kama Sugu huwa wanachukua nchi hivi hivi na tutabaki tunashangaa!
Kuna watu wana nyota zao bwana.
Kama Jiji zina la Mbeya anauwezo wa kumi control ...Nakumbuka Kuna mkutano wanainchi hawakutaka kiongozi yoyote aongee mpaka Aongee Sugu kwanza!
Struggle ya mtu kutokea mbali...Nakumbuka sana mwaka 1995 wakati Barrack Obama alipokuwa anazindua kitabu kuhusu Baba yake!!! Aliongea mengi sana kuhusu maisha na mambo ya ubaguzi na ndiyo ikawa ufunguo wa Barrack Obama kuingia White House.Sugu ana mipango mirefu sana na ana mikakati ya chinichini. Mungu mkubwa ndoto zake zitatimia nitakuwa pale kumsapoti na kumpa kura yangu mwaka 2030 ukifika
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda keshaanza ngumbaru class.