Mh. Temba Alizwa vifaa vya gari lake 2nd times!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Habari ambazo mh temba alizozisema juzi kwamba usiku wa kuamkia juzi wezi waliingia kwa fela alipopaki gari yake aina ya verossa na wameiba kila kitu kinachoibika kwenye gari,tena hao wezi walikua na hasira sana naye wameiba hadi kapeti za ndani,hii ni mara ya pili kwa wezi kumuibia temba vifaa vya gari ila mara ya kwanza waliiba vichache power window na taa ila mara ya pili hadi mh temba akajua lile gari sio lake maana lilivyokuwa uchi.

My Take:
Mh Temba Chunguza kama sio marafiki zako wanaokuingiza king. Basi tazama jinsi unavyoishi na majirani zake inawezekana una nyodo sana na verossa yako ndio maana wakaamua kukukomoa!
 
Wanamihela sana acha wamfilindo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole sana nunua vingine umesaidia kuwapa kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…