Ndio ile ya msanii wa mwanza anakwambia 20millions utasikia 200millionsUkitaka kujua ni uongo(au ameongeza 0) ni hiyo hesabu ya" milioni mia moja na kitu hivi".
Mtu umetoa fedha zako halafu hujui kiasi hadi useme milioni mia moja na kitu hivi!
Inawezekana mil 100 ya ZimbabweWazee wa kuongeza sifuri sifuri
[emoji23]duuh"Temba na Chege kwa sasa wanafanya vizuri na wimbo mpya uitwayo ‘Go Down.’ "
Amejimix huyuMillion 100 x 18 mnamkabidhi mtu usawa huu [emoji15] [emoji15] [emoji15]
"Temba na Chege kwa sasa wanafanya vizuri na wimbo mpya uitwayo ‘Go Down.’ "
Ahahahahahahahmhhh ile nyimbo wafute warecod ingine kwa kweli.
Hembu nisaidie mkisema nyimbo inafanya vizuri ndio inakuwaga vipi?"Temba na Chege kwa sasa wanafanya vizuri na wimbo mpya uitwayo ‘Go Down.’ "
Hapo ndiyo tuwaulize wao. Mi nilipenda kuweka ujumbe ulobebwa na hiyo million 100Hembu nisaidie mkisema nyimbo inafanya vizuri ndio inakuwaga vipi?