Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
duh Cerificate to Masters halafu masters yenyewe 2008-2008......kudadadeki!
 
Mkuu nilikuwa najibu swali lililohoji masters ya mwaka mmoja???....swala la vicky kukosa qualification ya kusoma masters ni jambo tofauti..
 
pamoja na yote,ila uelewa wa shule una nafasi yake sana when it comes to critical things analysis...sidhnai kabisa kwa kiwango cha uelewa au elimu yake halisi atakuwa na uwezo wa kudadavua hoja za msingi kisomi zaidi...ch amuhimu hawa viongozi wetu wasione haya..kama unajua elimu yako ni ya kuunga unga kama behewa.kuwa mpole rudi darasani kwa mtindo ambao unaona utakusaidia..
ila kama ni kweli hichi kitu na mheshimiwa anasema ana degree!!kwa kweli its a shame kwakweli.aueleze umma kama kweli ana degree au adv diploma na ni yawapi amabayo ingempa credits za kusoma masters.
mwisho wa siku tunakuja rudi pale kwa kusema kuna kitu" kinaendelea" na halina mjadala hili.
 
Mimi sitachangia kwenye CV ya mheshimiwa Vicky Kamata bali ninamchango wa jumla...ni kweli usiopingika kuwa wabunge wengi wanaingia bungeni kwa influence ya kujuana kwa upande wa special seats na kwa kutumia pesa nyingi majimboni kuwahadaa wananchi, hilo ni tatizo la systems zetu...cha msingi hapa ni kuwa na practical and factual evaluation procedures za performance kwa wale wanaoteuliwa na wananchi kupima utendaji wa waliowapa dhamana ya kuwawakilisha pindi miaka mitano inapokuwa imekwisha ili huko baadae tuwe na indicators zinazoweza kutusaidia kutanabaisha kama elimu ya kiwango cha juu ni kigezo kikubwa cha uwezo wa wabunge kuwakilisha wananchi.
 
Mkuu nilikuwa najibu swali lililohoji masters ya mwaka mmoja???....swala la vicky kukosa qualification ya kusoma masters ni jambo tofauti..

Ok Mkirua, basi maelezo yangu yataongezea katika mapungufu mengine ambayo ni kikwazo katika kusoma Masters Degree.
 
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name [/TH]
[TH]Position [/TH]
[TH]From Date[/TH]
[TH]To Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Special Seat[/TD]
[TD]2010[/TD]
[TD]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania (BOT)[/TD]
[TD]Public Relation Officer I[/TD]
[TD]2009[/TD]
[TD]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania (BOT)[/TD]
[TD]Public Relation Officer III[/TD]
[TD]2006[/TD]
[TD]2009[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Hakuwa na sifa za kupewa post kama hizi labda ndio alitumia na vitu vyake kushawishi kukaa na kutumikia nafasi hizo
 

sioni daraja la PILI ( II) !!!! KUNA UWEZEKANO WA KUVUKA HAKO KADARAJA KWA LEVEL YA ELIMU ALIYOKUWA NAYO? KAMA JIBU NI YES BASI ANATISHA
 
Kweli Viti Maaluum vifutwe tubaki na wagombea tu watu walianza kubebwa siku nyingi kumbe
 
[TABLE="class: cms_table, width: 100%"]
[TR]
[TD]V. Kamata: The Impact of Microfinance Scheme in Boasting Women Income - A Case Study of Pride Tanzania, SAUT, Mwanza[/TD]
[TD]2005[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hapo red ni macho yangu au? naombeni comment zenu
 
Hata hivyo katika kuwakilisha wananchi siyo lazima awe na msc
hivi umesahau ile dictum- of the people by the people and for the people????
Au unamuonea wivu or something? tuambie basi.
 
nenda kwanza kwenye publication zake obvious ingekuwa 2008 lakini kwa vile haipo kwenye orodha tucukue ile ya 2009. itakuwa ndiyo dissertation yake ya masters inasema Investigation of Differentiation in University's MBA Programme - A Case Study of Southampton Solet University, UK. 2009 swali Msc iko hapo au?
 
Kwa hiyo wewe hutaki watu wa kawaida wawakilishwe Bungeni? Kiherehere usiwe hivyo.

ukitaka kudanganya danganya kila kitu huyu dada masikini ya mungu ni kweli alienda hapo chuoni ila alifeli hakumaliza alitakiwa arudie masomo halafu kitu kikubwa alichodanganya hichi chuo hakina MSc kina MA na MBA general tu hyo MSc haipo hapo kazidi kutudanganya namjua sana alifeli mpka leo kwenye matokeo yake kuna pending result.
 
Hata umri kadanganya, kama kazakiwa Sept 78 na kaanza darasa la kwanza 83 meaning ameanza shule na miaka 4 ambayo by that time mtu akiwahi ni 6 yrs ndio anaanza shule!
Kdg siku hizi at 5yrs watoto wanaanza STD one!
 

mkuu labda hiyo google yako sijui ni ya wapi hichi chuo kipo sema kipo kwnenye 111 kati ya 150 best 2012 universities list uk ila qualification za kusoma master uk wanachukua first degree up to lower second ila kwa advance diploma wanachukua upper second tu kwa upande wa tanzania ila kwa vile vyuo vinavyotambulika hasa vya government vinavyotoa advanced diploma ya miaka mitatu. kuhusu huyo dada alisoma first degree kweli pale sauti alisoma na shemeji yangu hapo nafikiri wamekosea kuweka hiyo diploma na hiyo master vick ni kweli alipanda ndege kuja kusoma hapo chuoni ila alifikiri maisha ni mdebwedo mwisho wa matokeo yake alifeli somo alitakiwa arudie na vile vile project yake alikuta plagiarism ni zaidi ya 35% kumbuka hichi chuo hakuna mitihani ni assignment na gruop and individual presentation hapo ndipo kuna ugumu kidogo akapigwa ban akaambiwa nayo arudie matokeo aliyapata akiwa bongo alijiamini kuwa amefanya vizuri alishindwa kuja kurudia kwa sababu aliishia kwenye siasa so mpka leo hii result iko pending hajarudia na alitakiwa kurudi mwaka huu january ila mpka leo tunamuona mjengoni nahisi amesharidhika na ubunge wake anaona shobo kukaa darasani tena.
 

nilishasema ukiamua kudanganya danganya mwanzo mwisho watu watakuumbua southampton solent haitoi Msc wanatoa master of arts na MBA general tu.
 
Habari Wanabodi,

Nilikuwa napitia CV ya Mh. Vicky Kamata,mbunge wa viti maalumu kwakweli ina-encourage watu sana.Ningependa atupe somo sie makanjanja tufike alipofika yeye.Maana na mie nina ka-certificate kangu ka Upendo Vocation Training Center ya Computer.Au kama kuna mtu anaweza akatufafanulia mchakato wa certificate ya vyuo vya mtaani mpaka kupata masters ukoje?

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…