Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii NO NO No way I smell uwongo!! 11 form one!!crazy minus 7 years= 4 years. my knowledge of childhood development refutes this!!kamaliza form four akiwa na miaka kumi na tano na kaanza shule na miaka mitano wapi ilikuwa hiyo
Hili Bubge nalo punba.vu sana yaani hata haliwezi kuwasaidia wabunge mizigo kuandika vizuri CV zao? Ona lilivyochanganywachanganywa wala halina mtiririko! Chini 1983, Juu 199....
kati 200......, juu tena 2008! Hovyo kabisa!
Habari Wanabodi,
Nilikuwa napitia CV ya Mh. Vicky Kamata,mbunge wa viti maalumu kwakweli ina-encourage watu sana.Ningependa atupe somo sie makanjanja tufike alipofika yeye.Maana na mie nina ka-certificate kangu ka Upendo Vocation Training Center ya Computer.Au kama kuna mtu anaweza akatufafanulia mchakato wa certificate ya vyuo vya mtaani mpaka kupata masters ukoje?
View attachment 231798
Hivi kweli mtu mwenye MSC anweza kutengeneza CV yenye mchanyato!!!! wa mpangilio huo??!!!Habari Wanabodi,
Nilikuwa napitia CV ya Mh. Vicky Kamata,mbunge wa viti maalumu kwakweli ina-encourage watu sana.Ningependa atupe somo sie makanjanja tufike alipofika yeye.Maana na mie nina ka-certificate kangu ka Upendo Vocation Training Center ya Computer.Au kama kuna mtu anaweza akatufafanulia mchakato wa certificate ya vyuo vya mtaani mpaka kupata masters ukoje?
View attachment 231798
Degree amesoma wapi? Mbaya vyuo vyote hivyo haviko accridated[/QUOTE]
vipi hapo red?
Wapo wengi ambao wametoka diploma hadi Masters, hasa walio na experience ya muda mrefu kwenye fani fulani na diploma zilizotolewa na accredited colleges. Tatizo hapa ni chuo cha Nyakahoja, tena computer kusomea excel, powerpoint n.k. MSc aliyochukua sijui kutoka January 2008- December 2008 ni katikati field gani?Wewe nawe, mfumo gani wa elimu kutoka diploma mpaka MSc?
nadhani "cerificates are nothing but pieces of papers, real knowledge" iko kichwani sasa binafsi sijamfuatilia lakini kama ni mbunge bila shaka wapo mnaofuatilia bunge je hizi "achevements" mnazozisema hapa zinaonekana katika michango yake na utendaji wake?
"any body can have those pieces of papers" lakini "we are interested with knowledgeable people who can do something" na hiyo ndio mantiki ya elimu na si kuwa na "pieces of papers looking for posts but" utendaji nothing.
Degree amesoma wapi?
mimi nimeona Diploma then anakwenda Masters tena ya mwaka mmoja!!!! hatareeee!!!
Utamsubiri sana mkuu. HatakujaTunajadili ufisadi tu,ufisadi Mkubwa ni wa kimaadili na kwenye Elimu
Dada Vicky naomba uje huku tafadhali
Sijaona Post Graduate au Hata Advance Dip,ingependeza Katibu wake au msaidizi wake angetupa ufafanuzi na sie kina yahee tupate Masters maana tumebaki na certifcate zetu tu za Eagle Wing College mkononi.