Mh wazee wengine bana

..Mzee lazima atakuwa amepandwa na handasi huyo anatafuta maeneo yenye network.
 
hapo alikuwa anaangalia material tu ya hiyo frem
 
hahahahahahahahah huyo babu masikini weeeeeeee....
 
Picha ingesogea karibu ungekuta na kasuruali kametuna kidogo lol
 
Nimecheka sana, hiyo picha ina interpretation nyingi tu! LOL!

MNATAKA KUSEMA mzee kajisahau anafikiri ataona kitu kwa mbele?
 
Mzee just anaangalia fremu ya picha kama ni ya mninga au msonobari.
 
Mzee just anaangalia fremu ya picha kama ni ya mninga au msonobari.

Hahahahahaha duh unatanivunja mbavu mwana hapa mana nilikuwa nacheka huku villa wanarudisha bao hapa 1-1 rahaaaaaaaa
 
Mzee inaonekana mtaalamu wa chabo huyu
 
huyu mzee anafaa sana huyu!
anataka kuona huyu demu anaficha nn? kwani cha kwake kikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…