Nimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta.
Wiki chache zilizopita, tulisikia kutoka kwa Mh. Mbilinyi akipinga vikali uwepo wa Fiesta na hata kufikia kusema kuwa hatakubali Fiesta ifanyike Jimboni mwake.
Sasa mimi nashindwa kuwaelewa hawa vijana wa Upinzani; Ni kwamba wanatunishiana misuli au ni Maamuzi ya CHADEMA kuwa kila mtu ana fursa ya kuongea chochote awezacho na kufanya maamuzi yoyote?[/QUOTE
Simple minds discuss people. umejiunga lini na minds za jamaa wa clouds (wazee wa mipasho na majungu)??
nimekuwa nikisiliza radio clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na tangazo ambapo inasikika sauti ya mh. Zitto kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika fiesta.
Wiki chache zilizopita, tulisikia kutoka kwa mh. Mbilinyi akipinga vikali uwepo wa fiesta na hata kufikia kusema kuwa hatakubali fiesta ifanyike jimboni mwake.
Sasa mimi nashindwa kuwaelewa hawa vijana wa upinzani; ni kwamba wanatunishiana misuli au ni maamuzi ya chadema kuwa kila mtu ana fursa ya kuongea chochote awezacho na kufanya maamuzi yoyote?
Mh. Mbilinyi a.k.a Mr Proud a.k.a Sugu(Chadema), Mh. Zitto Zuberi Kabwe(Chadema) wote wameizingumzia Fiesta.chadema inahusika vipi kwenye fiest? Kama huna cha kuandika ni bora hata uwe una post makala ya afya humu janvini kuliko kuweka pumba .
wewe hizo akili zako au za kuazima? Fiesta ni biashara na si siasaNimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta.
Wiki chache zilizopita, tulisikia kutoka kwa Mh. Mbilinyi akipinga vikali uwepo wa Fiesta na hata kufikia kusema kuwa hatakubali Fiesta ifanyike Jimboni mwake.
Sasa mimi nashindwa kuwaelewa hawa vijana wa Upinzani; Ni kwamba wanatunishiana misuli au ni Maamuzi ya CHADEMA kuwa kila mtu ana fursa ya kuongea chochote awezacho na kufanya maamuzi yoyote?
Mh. Mbilinyi a.k.a Mr Proud a.k.a Sugu(Chadema), Mh. Zitto Zuberi Kabwe(Chadema) wote wameizingumzia Fiesta.
Hizo kauli za zidumu fikra za mwenyekiti ni kauli mbiu za misukule wenzako wa magamba,.......Hiki ndicho Mh. Zitto Mbunge wa Chadema anachowahasisha wananchi wakakishudie!
Viva Chadema... Zidumu fikra za Mwenyekiti
Boko haram member, wewe ni gaidi tu not otherwise.WADAU
steve Diallo (ndugu wa Anthony Diallo) hisa 40, Maxence Melo hisa 250, Mike Mushi hisa 250, Dickson Charles hisa 40, Lameck Mussa hisa 40, na William Malecela hisa 40, huyu ni mtoto wa John Malecela anayeishi washington -Marekan.
HAWA NDIO WAMILIKI WA JF. HAYA NDIO MAJIBU YA KUTEGEMEA
LKN ANAOJIBU MAJIBU HAYA NI Maxence
Al madrasat alsul, ubwabwa wapi leo? na ile siku ya waislamu kupitakuombaomba madukani ni lini vile?WADAU
steve Diallo (ndugu wa Anthony Diallo) hisa 40, Maxence Melo hisa 250, Mike Mushi hisa 250, Dickson Charles hisa 40, Lameck Mussa hisa 40, na William Malecela hisa 40, huyu ni mtoto wa John Malecela anayeishi washington -Marekan.
HAWA NDIO WAMILIKI WA JF. sSIMUONI HATA MUISLAM MMOJA HAYA NDIO MAJIBU YA KUTEGEMEA NDANI YA JF. MSISHANGAE SANA
LKN ANAOJIBU MAJIBU HAYA NI Maxence