Mh: Mussa Azzan Zungu katika uchangiaji wa bajeti ya serikali aishauri kambi ya upinzani kukubaliana na kuunga mkono serikali katika masuala yenye manufaa kwa nchi jambo litakalowafanya kupata viti viwili zaidi mwaka 20!5....''...mkifanya hivi 2015 tutawapa viti viwili,viwili tu''
Labda kama ni viti vya ufisadi. vinginevyo nakwambia mwaka 2015 SiSiEmu
wataangukia pua kuanzia Uraisi, idadi ya wabunge Bungeni, Udiwani hadi Uspika.
CUF itapoteza viti zaidi Znz
Hao ccm wenyewe wanajua ni hatihati kurudi tena bungeni kwa jinsi moto wa chadema ulivyo.Mmh, hapo kwenye RED ongea polepole wasije wakakusikia!
nakuhakikishieni 2015 there will be no CCM kwa hali ya mitaani jinsi ilivyo na wengi wao watkuwa behind bars
mmh, hapo kwenye red ongea polepole wasije wakakusikia!
Shimbo atakuwa kafa maana anastaafu September tu