MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?

...ukitegemea mchumba wako atabadilika tabia ukishamuoa, jua unajitafutia kujiudhi roho tu. Tabia hazibadilishiki. Kama mwanamke/mwanaume alikuwa mzinzi ataendelea hivyo hivyo hata mkioana.
Kama mwanamke.mwanaume alikuwa mdokozi, mchoyo, mchafu, mwongo...nk atayaficha makucha yake kwa kipindi fulani kutimiza malengo yake, kisha maisha yataendelea kama kawaida.
Wazee wetu ndoa zao zilidumu kwakuwa kwenye kutafuta mchumba, walihusishwa wanafamilia na marafiki wa karibu kwenye kutoa ushauri na maamuzi yupi anafaa, au hafai.
Ndoa za kisasa, waamuzi wa mwanzo na wa mwisho ni wanandoa wenyewe.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/37029-tabia-haibadiliki.html
Mi namjua mbaba mmoja hivi alimuoa baamedi aliyekuwa anagawa kama pipi. Huwezi amini alivyobadilika. Hii ishu bana huwezi kupata jibu la moja kwa moja manake inategemea n'tu na n'tu...Ila kuwa safe zaidi.........Usiijaribu sumu kwa kuionja.Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?
Wanaoitengeneza wao wenyewe lazima waijaribu kwanzaSumu haijaribiwi kwa kuionja.
NN aksante nadhani kuna ukweli hapa kuwa yote yanawezekana but will you be willing kuingia mkataba na mtu wa aina hii bila kuwa na uhakika? kama hapana, utasubiri mpaka lini ndipo ujiridhishe na kufanya maamuzi?yote yawezekana chini ya jua
Sumu haijaribiwi kwa kuionja.
Unatafakari jinsi utakavyopokea mahari ya JambaziMjukuu wangu Hao majambazi wa nini tena?
Ngoja nitafakari kidogo!
Kweli hommie inategemea na N'tu na N'tu...e inategemea n'tu na n'tu...Ila kuwa safe zaidi.........Usiijaribu sumu kwa kuionja.
.