Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
mbona unaongea maneno mengi sana, kwani wewe umempenda changudoa dada? au?hueleweki....Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?
Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi etc. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?
pole, hebu waulize wachangiaji wengine wameelewaje.mbona unaongea maneno mengi sana, kwani wewe umempenda changudoa dada? au?hueleweki....
Hatari tupu hapo MJ1! hapafai kabisa kutia mguu labda kama huuonei huruma moyo wako.
Ushaona simba kapakatwa?
Kama yawezekana basi hata hii yawezekana.
Ephweeeeeeeee!! Mwe! KWa hiyo Shem wangu second chances kwako ni No, No and a big No?? LOL
Hahahahah WoS.......Simba Kapakatwa Pub loh haya dada mzima lakini?
kabisaa tena wengine wagumu kubadilishika.Kumbadili mtu tabia ni kitu kigumu sana aisee Sana sana atajibadili yeye mwenyewe kwa ridhaa yake
Wewe unaakili sana wewe, hivi unakunywa kinywaji gani????!!!Okay kwa hiyo unakubali sumu yawezajaribiwa eh?
Na unaposema anything can happen ina maana hata yule aliyekuwa 'msafi' kwa maana ya kutokuwa na footsteps chafu, ana possibility ya kuwa 'mchafu' huko mbeleni? Si ndio (Tukiweka push and pulling factors?)..........
Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?
Wewe unaakili sana wewe, hivi unakunywa kinywaji gani????!!!
.......I am Only a Human,........................Naweza kuwa Malaika au Sheitwan, the choice is mine!
Ref: Jasiri haachi asili, kaniki ndio rangi yake, wa moja havai mbili au wa mbili havai moja. Nadhani nimesomeka
Swali zuri sana hili
mbona unaongea maneno mengi sana, kwani wewe umempenda changudoa dada? au?hueleweki....
Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?
RR aksante kwa ufafanuzi huu Babu yabgu lakini hebu njuze mara ya mwisho kuandika post ndefu namna hii ni lini?Naamini kuna watu wanakua na tabia fulani kwa sababu hizi:Kwa sababu ya kwanza mtu anaweza kubadlika (kama vile vilivyomfanya awe na tabia hizo vikiondoka), ila sababu ya pili hapana....hawezi kubadilika.
- Mapito ya maisha....tabia ambazo sio zake ila z kupewa na ulimwengu....shida n.k
- Tabia za ndani ya mtu....sio zile za kupewa na ulimwengu....