Naamini kuna watu wanakua na tabia fulani kwa sababu hizi:Kwa sababu ya kwanza mtu anaweza kubadlika (kama vile vilivyomfanya awe na tabia hizo vikiondoka), ila sababu ya pili hapana....hawezi kubadilika.
- Mapito ya maisha....tabia ambazo sio zake ila z kupewa na ulimwengu....shida n.k
- Tabia za ndani ya mtu....sio zile za kupewa na ulimwengu....
Mi namjua mbaba mmoja hivi alimuoa baamedi aliyekuwa anagawa kama pipi. Huwezi amini alivyobadilika. Hii ishu bana huwezi kupata jibu la moja kwa moja manake inategemea n'tu na n'tu...Ila kuwa safe zaidi.........Usiijaribu sumu kwa kuionja.
BTW ndo kusema nijiandae kukamata mahari ya Jambazi?
Chunga tamaa mbaya.
Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?
Naamini kuna watu wanakua na tabia fulani kwa sababu hizi:Kwa sababu ya kwanza mtu anaweza kubadlika (kama vile vilivyomfanya awe na tabia hizo vikiondoka), ila sababu ya pili hapana....hawezi kubadilika.
- Mapito ya maisha....tabia ambazo sio zake ila z kupewa na ulimwengu....shida n.k
- Tabia za ndani ya mtu....sio zile za kupewa na ulimwengu....
RR aksante kwa ufafanuzi huu Babu yabgu lakini hebu njuze mara ya mwisho kuandika post ndefu namna hii ni lini?
Dahhhhh!!!!!....kaka taratibu bana.
nikitafakari hapa naona kuna wivu, hasira, uchoyo, dharau, kiburi, nk.... au????
Hivi tutaoza/kuozesha kweli kwa analysis hizi?
Mkuu Mbu...
Katika hali halisi kila binadamu ana tabia fulani mbaya (ofkoz ubaya ni relative)....kumbuka hata kina Carlos 'the jackal', hitler au musolini walipendwa!
swadakta!...kwahiyo ni kuitafutia mbinu tu ya kui accomodate tabia 'mbaya' ya mtu, ili maisha yaendelee.
Hakuna mkamilifu.

[/SIZE][/FONT][/COLOR]
Toba Yaillah!! Mbu tartibu bwana ndo nini bwana? hapo kwenye angalizo mwe!! Inawezekana ni kweli anaivaa kila anapokukumbuka (akiwa hana hao wengine LOL)............yote maisha lakini ndio tumeumbiwa bana bila hizi experiences nyingine hatutokomaa!!
duh ama kweli mapenzi yanahitaji shule aksante kwa elimu hii.
Na kweli mwaya ya nini kujipa presha ama sivyo itakuwa kila relationship unakondeana kwa dhana!! Umenikumbusha taarab flani ya zamaaani (in 1980s) sikumbuki iliimbwa na nani wala kikundi gani. Ilikuwa na aneno yasemayo......
Dhana usinidhanie, hofu moyoni kuweka
Mwengine sifikirie, Wewe sitokuepuka
Ridhika na Utulie, Uache kunung'unika X2
Chorus: Dhana usinidhanie, shaka moyoni kuweka
Daima mimi na wewe, mwenginewe hatozuka.