mh!!!!!!!!!

mh!!!!!!!!!

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,646
mh.jpg

bora hata zile za chini ya mwembe kuliko hizi za chini ya mbuyu.
 
miaka 50 ya uhuru ,Tmethubutu tumeweza na tunasonga mbele
 
miaka 50 ya uhuru ,Tmethubutu tumeweza na tunasonga mbele

gharama za sherehe zingetosha kujenga shule.anagalao nyumba za tope huko vijijini.
 
chaguo ni letu.....kama tunataka kuepukana na huu upuuzi!!
 
daaaaah hii ni nouma mazeee!!!!

ni zaidi ya noma.eti hapo tunasomesha watoto tunategemea tuje kupata ma rais,mawaziri,wabunge,bila shaka hata mwalimu anakuja katandika mnazi kwanza ili kupunguza stress.
 
Mbona haujasema ni maeneo gani. Ujenzi wa shure sio mpaka Serikari. Nimipango ya kijiji/eneo husika. Then serikari inaassist tu.
 
Mbona haujasema ni maeneo gani. Ujenzi wa shure sio mpaka Serikari. Nimipango ya kijiji/eneo husika. Then serikari inaassist tu.

unaona hao watoto.basi ni kijiji kizima hicho.
 
Mbona haujasema ni maeneo gani. Ujenzi wa shure sio mpaka Serikari. Nimipango ya kijiji/eneo husika. Then serikari inaassist tu.

Usidanganyike kwa mbwembwe hizo za kikauli za wachovu wanasiasa wenu. Kaa chini inamisha kichwa, fumba macho,taratibu inua kichwa na jiulize swali hili: HIVI KODI NAYOLIPA NA MICHANGO MINGINE PIA PESA TOKA NCHI RAFIKI ZINAISHIA WAPI? Then vuta pumzi kubwa kak.....joe ulele!
 
Back
Top Bottom