Mha.Mohammed Besta : Tanzania Imepanda Kutoka namba 16 (2022) Hadi Namba 6 Afrika Kwa Kuwa na Mtandao Bora wa Barabara za Lami.

Mha.Mohammed Besta : Tanzania Imepanda Kutoka namba 16 (2022) Hadi Namba 6 Afrika Kwa Kuwa na Mtandao Bora wa Barabara za Lami.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Akitoa taarifa kujibu uzushi wa jarida mojawapo hapa Tanzania,Mtendaji Mkuu wa TanRoads Mha.Mohammed Besta amesema Awamu ya 6 inatejeleza Jumla ya miradi 77 ya Barabara za Lami na madaraja yenye thamani ya zaidi ya Shilingi 4.6T.

Aidha bwana Besta amesema Kwa mujibu wa takwimu kutoka mtandao wa Statistica Afrika ,Tanzania imeshika nafasi ya 6 Kwa kuwa na mtandao Bora zaidi wa Barabara za Lami ikipanda kutoka nafasi ya 16 mwaka 2022.👇👇

View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19

View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==

My Take: Kazi iendelee,hakuna kilichosimama.

View: https://x.com/JamiiForums/status/1851560967320064503?t=Bm99UEthwTtw1G_tM9AjGA&s=19
 
barabara zinajengwa kwa mikopo halafu mnajitapa i hate CCM as hell!!
Mbona wengi tu wanajenga nyumba na kununua magari kwa fedha za mkopo haukereki? Au shida yako ikikopa serikali??

Kazi Inaendelea.

Na kampuni ya Volksqagen wanakuja Tz wameridhishwa na utendaji mzuri wa bandari ya Dsm
 
Ni chuki binafsi hana hoja
 
Pamoja na maelezo hayo ya Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Mhandisi Besta

Bado hali ya barabara zetu ni mbaya

JPM alipata umaarufu Mkubwa akiwa Waziri wa Ujenzi na baadaye akiwa Rais

Mshaurini Mhe. Rais awaletee pesa hao Tanroads ili wakamilishe miradi na watekeleze miradi mipya.

Kuna baadhi ya Wilaya bado hazijaunganishwa na Lami hadi sasa
 
Back
Top Bottom