Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa(SEKOMU) alishwa madawa ya kulevya, aibiwa kila kitu

Kaimu makamu mkuu wa chuo kikuu kalishwa poda...?? Tena daktari wa falsafa "PhD holder?"

Aisee nimekumbuka ile hadithi na mvuvi na msomi (profesa) walipokuwa wakibishana wakati wanavuka MTO wenye mamba wakali kwa boti.
 
Ukikaa na mtu safari story tu zinatosha, hayo mambo ya msosi au vinywaji ni hatari sana kuami iana.
 
Hicho chuo anachofundisha nacho mhhh.. [HASHTAG]#chuo[/HASHTAG] kinahakisi werevu wa mtu pia#
 
Hicho chuo anachofundisha nacho mhhh.. [HASHTAG]#chuo[/HASHTAG] kinahakisi werevu wa mtu pia#
ZIRO pata nafasi utembelee SEKOMU Sebastian Kolowa Memorial University, chuo kilichojikita katika kutoa wabobezi katika elimu maalumu! Special needs Education!

Pale wanatoa shahada ya kwanza kwa Walimu wa elimu maalumu lakini pia Masters katika eneo hilohilo, wanatoa shahada ya kwanza kwa wataalam wa afya ya akili, mental health.

Kimsingi ni chuo kikuu kilichojikita katika eneo au maeneo yasiyo pewa kipaumbele sana lakini yakiwa na umuhimu mkubwa mno katika jamii yetu.

Nilibahatika kusoma hapo, nikijikita katika kusaidia wenye ulemavu wa kusikia, Hearing impairment. Nilipata kitu maalumu mno kupitia SEKOMU.

pita siku moja Lushoto, Magamba, SEKOMU, hutajutia naamini. Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa maelezo mazuri.Kina rank gani katika vyuo bora kitaifa?.. Maana chuo sio kozi inayotoa bali ni output inaangaliwa..
 
KEKI GANI? PHD MZIMA UNAKULA KEKI YA KUPEWA? NI UBAHILI GANI HUO JAMANI UNASHINDWA KULA USHIBE HADI UNAENDA KUMENDEA KEKI KWENYE BUS.WANAUME ACHENI UBAHILI MTAUMBUKA
 
Hata kama watz ni wakarimu sili kitu cha mtu kwenye basi wala simkaribishi mtu kitu changu, kila mtu ale vyake
Nipe nikupe. Ingawa siwezi kukubali hata kwa makinikia
 
Usijaribu kula msosi wa mtu kwenye bus ata awe mrembo kiasi gani,story zinatosha.Chakula,pipi,vinjwaji usile
 
Kulakula mno na uchoyo ubahiri.
Sasa kwa nini aaikodi gari? Au ndege! Au gari yake
 
Huyu muhadhili nadhan kwa sasa die askofu wa kkkt jimbo huko kamrithi askofu Munga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…