Mhalifu mwenye silaha auawa baada ya kushambulia gari la Polisi

Mhalifu mwenye silaha auawa baada ya kushambulia gari la Polisi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Bullet-pistol-desktop-Wallpaper.jpg

Waliweka kizuizi cha barabarani huko katika eneo la Kaliro, walitegemea kuteka gari la raia wa kawaida lakini wakakumbana na gari la Polisi

Polisi walipoona kizuizi hicho walifyatua risasi kuelekea kwa wahalifu hao zilizompata mmoja wao aliyefariki papo hapo

Aidha, wahalifu watatu walikimbia wakiwa na silaha zao na msako mkali dhidi yao bado unaendelea

====

Armed thugs who had set up a roadblock in Kaliro District to waylay and rob unsuspecting motorists ended up flagging down a police car whose occupants opened fire on them, killing one while his three accomplices fled with their gun.

The incident happened at Natwana Swamp along the Kaliro-Buwenge Road in Kaliro Town Council around 2am on Monday.

The Kaliro District Police Commander, David Kamwoya, said the deceased and three others, still at large, had staged a roadblock at the swamp to rob residents and other motorists.

“We received reports that the suspects, who were dressed in army uniform, were robbing residents at this point and dispatched officers to intervene. However, the thugs flagged down our patrol car hoping to rob its occupants and the officers opened fire on them,” Mr Kamwoya said.

Adding: “One thug was shot and he died on his way to Bumanya Health Centre III where he was being rushed by police for treatment.”

-Daily Monitor-
 
Bhahahahahahaaaaaa
Inanikumbusha yule mvuvi aliyetega vyavu akahisi samaki wameingia mtegoni akaanza kuvuta taratibu mara paap mamba akamrukia tukazika sehemu ya mwili.

(Masimulizi ya mkasa kwa hisani ya wamama waliokuwa wanafua eneo hilo)
 
Hata sijaelewa, tukio hilo la hao wahalifu kuulowa na polisi mbona haionekani limetokea nchi gani?
 
Back
Top Bottom