Mhalifu wa kauli taarifa

Mhalifu wa kauli taarifa

Abdideol

Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
13
Reaction score
6
Kigezo kipi kimetumika kutoa Taarifa ifuatayo.??

"AMUUA MKE WAKE NA KISHA YEYE MWENYEWE KUJIUA."

Kupitia kauli hiyo tunaweza kuwa tunamlinda muhalifu bila hata kufahamu.

Ukifanya Tathimini pengine unaweza tambua aliyemuuwa Mke sio Mume na pengine Mume kajiuwa ili kuepusha shari huenda alishuhudia Mauaji ya Mkewe...
 
Kuna ukweli fulani lazima ukubalike na kufuatwa hadi pale ukweli mwingine bora zaidi utakapopatikana na kuthibitishwa.

Mfano, dunia ilikuwa bapa hadi pale ilipothibitika kuwa ina umbo mithili ya tufe.
 
Kigezo kipi kimetumika kutoa Taarifa ifuatayo.??

"AMUUA MKE WAKE NA KISHA YEYE MWENYEWE KUJIUA."

Kupitia kauli hiyo tunaweza kuwa tunamlinda muhalifu bila hata kufahamu.

Ukifanya Tathimini pengine unaweza tambua aliyemuuwa Mke sio Mume na pengine Mume kajiuwa ili kuepusha shari huenda alishuhudia Mauaji ya Mkewe...

"Amuuwa mkewe na kisha ajiua"--- hiyo ndio lugha safi.
 
Kigezo kipi kimetumika kutoa Taarifa ifuatayo.??

"AMUUA MKE WAKE NA KISHA YEYE MWENYEWE KUJIUA."

Kupitia kauli hiyo tunaweza kuwa tunamlinda muhalifu bila hata kufahamu.

Ukifanya Tathimini pengine unaweza tambua aliyemuuwa Mke sio Mume na pengine Mume kajiuwa ili kuepusha shari huenda alishuhudia Mauaji ya Mkewe...
Kwa polisi wetu, ndio imetoka hiyo. Ya nini kujipa kazi ya ziada wakati hakuna fungu?
 
Back
Top Bottom