Mhalifu wa kukata nywele za watu usiku 1942

Mhalifu wa kukata nywele za watu usiku 1942

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kila mwizi na vituko vyake,kuna wapenda udokozi kama mbonga, kuna wengine wana kila wizi na vituko vyake. Hapa nazungumzia mhalifu aliye tawala kwenye Moja ya uhalifu wa kushangaza wa historia ya Merika ilikuwa moja yenye kesi zilizonyingi polisi ya kukata nywele za watu kwa ujanja ambayo mda mwingi ulikuwa usiku watu wakiwa wame lala na ilifanyika mnamo 1942 Mississippi.

Mhalifu huyo kwa jina Pascagoula ila kwa jina alipewa "kinyozi wa Phantom" au kingereza “phantom barber” kwa tabia yake mbaya ya kukata nywele kwa wasichana wadogo wakati wamelala.

Tabia hii ilikela sana kufanyia wasichana na mpaka leo hakuna aliyeweza kuthibitisha huyu mtu mpaka leo ni nani japo kila ushaidi kushindikana.
IMG_2473.jpg
 
Back
Top Bottom