Pre GE2025 Mhamasishaji Michael Msechu na DC Petro Magoti wakutana kufanya ziara ili kuhamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

Pre GE2025 Mhamasishaji Michael Msechu na DC Petro Magoti wakutana kufanya ziara ili kuhamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesisitiza kuwa kushiriki katika mchakato huu ni hatua muhimu kwa maendeleo ya taifa. Pia, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuunga mkono juhudi za Rais kwa kuwa mabalozi wa maendeleo katika jamii.

 
Back
Top Bottom