Balozi wa Mazingira na muhamasishaji Tanzania Michael Msechu ameanza ziara mkoa wa Dar es salaam katika kuelekea kwenye Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Zanzibar,
Msechu amekutana na Katibu Mwenezi Siasa na Itikadi Mkoa wa Dar Es salaam Binamu Binanga na kuendelea kuwaimiza Wananchi tukutane Siku ya Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Zanzibar