Mhandisi Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia

Mhandisi Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
969
Reaction score
1,055
Matunda ya Tanzania Royal Tour, Mkurugenzi wa shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania), Mhandisi. Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia (SITA Aero) namba moja Duniani.

SITA Aero inakadiriwa kuwa jumla ya wanachama 550 Dunia kote huku mapato yake kwa Mwaka yakiwa ni takribani dola za kimarekani bilioni 1.1 Nafasi hii atahudumia kwa kipindi cha miaka 6.

Shirika la ndege la Tanzania kwasasa limejitanua kwa kuongeza safari zake Ufaransa, Marekani, India, Misri pamoja na China na nchi mbalimbali Afrika.

Usafiri wa Anga Tanzania unachangia kuikuza Tanzania katika Utalii na Usafirishaji.

Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ni
Omar Jefri – Mwenyekiti kutoka Shirika la ndege la Saudi Arabia
Srinivasan - Kutoka Qatar Airways (Makamu Mwenyekiti).
Hi yen Boo- Malaysia Airways
Mel Crocker - Shirika la Ndege Canada
Michael Doersam- Emirates
Dominique Fuhelham- Shirika la ndege la Swis.
Frank Meyer
Russell Hubbard

 
Mpaka hivi sasa bado nawatafakari vyeti feki na wapiga madili, hivi Kwa nini hawakemewi wapumbavu hawa.?

JPM alipoamua kununua ndege walikejeri, sasa matunda yake Kwa nchi yanaonekana!

Washenzi wale walizidisha kelele kama nyau kabanwa na mlango, Hawaoni aibu sasa?

Nchi, inapaswa iongozwe na wanaume wenye kujiamini kama kina hayati na wenginewe,

Sasa tunakula matunda ya mwamba! Ulale salama JPM
 
Back
Top Bottom