Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Ni juzi Waziri alitembelea na akatoa maamuzi mbalimbali cha kushangaza hadi sasa hakuna maji.
Watendaji wenu wanatuletea mambo ya mgawo wa maji siku moja kwa wiki Alhamisi cha ajqbu hiyo Alhamisi hayatoki. Mbezi Mwisho maji yanatoka full days kwanini mnatuletea siasa.
Kwakuwa tunajua wewe ni mteule mpya njoo uone tatizo lilipo. Tuacheni na umasikini wetu ila tupate maji.
Inakuaje hata mwananchi akitaka gari lilete maji ni shida? tumemkosea nini Rais Samia?
Sisi hatutaki kuingiza siasa hapa. Muacheni Rais apunzike anafanya kazi nyingi. Kiukweli hata Waziri Aweso tumeshakuchukia maana ulileta maneno matupu.
Pia, soma;
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini