Mhandisi Mkazi, Upembuzi yakinifu wa 1980 unatumika bwawa la JNHPP

Mhandisi Mkazi, Upembuzi yakinifu wa 1980 unatumika bwawa la JNHPP

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba.

N.B
TANESCO na wahandisi wa mradi wa Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP kuja kutoa maelezo ya ziada ndivyo inatakiwa ktk kipindi hiki cha uwazi na kuwafahamisha wanufaika yaani wananchi wa Tanzania kufahamu kinachoendelea ktk miradi mikubwa ya pesa nyingi za walipa kodi.

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
.
IMG_20210409_131121.jpg
 
Watu kama hawa ndio mama Samia inatakiwa awasikilize sababu jamaa amaeeleza vitu kitaalam,ila wanasiasa wetu wanafiki WANAO JUAJUA kumbe hawajui watampoteza.

Hata akitaka ushauri zaidi adondoke UDSM aongee na malecture watampa benefits nzuri kabisa za umeme wa maji zidi ya vyanzo vingine.

Wewe jitu linalotoa ushauri kipindi chake ndipo kashfa zillikuwa nyingi za ufisadi ktk maswala ya umeme.Mgao ulikuwa kawaida mpaka kufikia masaa 12 kwa siku (wanakata asubuhi kurudi jioni),gesi wakampa mchina.Leo hii wanadai umeme wa maji umepitwa na wakati,yaani ili mradi ale cha udalali.
 
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba ...

N.B
TANESCO na wahandisi wa mradi wa Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP kuja kutoa maelezo ya ziada ndivyo inatakiwa ktk kipindi hiki cha uwazi na kuwafahamisha wanufaika yaani wananchi wa Tanzania kufahamu kinachoendelea ktk miradi mikubwa ya pesa nyingi za walipa kodi.

So?
 
Back
Top Bottom