Mhandisi Mkazi, Upembuzi yakinifu wa 1980 unatumika bwawa la JNHPP

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba.

Your browser is not able to display this video.



PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
Watu kama hawa ndio mama Samia inatakiwa awasikilize sababu jamaa amaeeleza vitu kitaalam,ila wanasiasa wetu wanafiki WANAO JUAJUA kumbe hawajui watampoteza.

Hata akitaka ushauri zaidi adondoke UDSM aongee na malecture watampa benefits nzuri kabisa za umeme wa maji zidi ya vyanzo vingine.

Wewe jitu linalotoa ushauri kipindi chake ndipo kashfa zillikuwa nyingi za ufisadi ktk maswala ya umeme.Mgao ulikuwa kawaida mpaka kufikia masaa 12 kwa siku (wanakata asubuhi kurudi jioni),gesi wakampa mchina.Leo hii wanadai umeme wa maji umepitwa na wakati,yaani ili mradi ale cha udalali.
 
So?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…