Mhandisi Mkazi, Upembuzi yakinifu wa 1980 unatumika bwawa la JNHPP

Kati ya maamuzi ya kijasiri ya JPM ilikuwa ni hili...
Unaweza ukatoka nyumbani kwako umevaa chupi ya mke wako Kama BARAKOA, nao ni UJASIRI

UJASIRI wa kutofuata ushauri wa kitaslamu ni UWENDAWAZIMU
 
Unaweza ukatoka nyumbani kwako umevaa chupi ya mke wako Kama BARAKOA, nao ni UJASIRI

UJASIRI wa kutofuata ushauri wa kitaslamu ni UWENDAWAZIMU
Comment yako na umri wako haviendani
 
Harafu anakuja kenge mmoja kutuambia umeme haufai wa kizamani, mara upembuzi wa kizamani, kama nia kutu rejesha kwenye capacity charge itabidi mtunyonge.
 
Kuna wakati tulitaka Rais asiye dhaifu, tukapata JPM...

Sasa hivi watu wanaona hakuwa akifaa wanataka Rais mbembelezaji
 
Kuna wakati tulitaka Rais asiye dhaifu, tukapata JPM...

Sasa hivi watu wanaona hakuwa akifaa wanataka Rais mbembelezaji
Siyo kweli kuwa tulitaka Rais alise dhaifu. Labda wewe na mumeo ndiyo mlitaka JPM
 
Mantiki ni ipi sasa?
yaani leo tupo mwaka 2021 halafu tunajenga bwawa la umeme kutumia upembuzi yanikifu wa mwaka 1980, yaani miaka 40 iliyopita, halafu tunajipongeza!
Upembuzi yakinifu (feasibility study) una maeneo mengi kuna yasiyo badilika ila kuboreshwa tu.. sio nyanya hizo kwamba zimeoza...

Upembuzi yakinifu huangalia uchumi, mazingira, ufundi (technologies), sheria, na upangaji wa ratiba - ili kuhakikisha uwezekano wa kukamilisha mradi kwa mafanikio. Huu ni utafiti kuhusu mradi. Huwezi kusema eti kwa sababu ulifanyika 1980 so leo tunautupa .. ni kufanya maboresho ili uendane na hali halisi iliyopo.

Even modern car engine are the upgrades of many years engine studies ni swala la maboresho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…