Mhandisi wa Kiwanda cha Tesla avamiwa na Roboti na kuachiwa jeraha

Hiyo google tafsiri inabadilisha maana.
 
We nawe kingereza hujakielewa vizuri ama.?🤔 Taarifa inasema "Robot wa kupeleka vifaa vya aluminium vya magari amshamburia engineer huku watu wawili wakishuhudia" Ila wewe umeileta ni kama vile MAROBOTI YAWASHAMBURIA WAFANYAKAZI🤣🙌
Unajua katika ufikishaji wa habari hizo ni sentensi mbili tofauti
 
Ukute limesitiwa umeme wake unazimika baada ya muda maalum tu
Kama hayajawekewa njia ya kuya-terminate in case of emergency or misbehavior wamekosea sana!

Binadamu wenyewe akitenda beyond normal behaviour kuna namna ya kudili naye sembuse machumachuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…