Mhandisi Zena Ahmed Said apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia.

​
 
Naona kaamua kujaza kobazi na ushungi tu kila kona....hahaha..TEC hataki kuwasikia....
Kazi kwenu wakina Yakheee...
 
Aripoti kituo chake cha kazi mara moja ili Mungu ikimpendeza apitiwe na Iranian ballistic missile kwa niaba ya mhalifu anayemtuma huko!
 
Huyu mama alimkosea nini hadi kupanguliwa haraka hivyo? Alafu sikujua katibu wa Rais wa Zanzibar anateuliwa na rais wa muungano? Huu muungano wa ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…