Mhandisi Zena Said afungua Kigoda cha Wasichana Zanzibar
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said amefungua Kigoda cha Wasichana katika Ukumbi wa Dimani Zanzibar tarehe 11 Oktoba, 2024.
Jukwaa hili la Wasichana lilizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili na jinsi ya kuzitatua ili kuweza kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza ndani ya Zanzibar, Tanzania na hata duniani.
-
mini_magick20241014-8648-900asr.jpg
120.5 KB
· Views: 3