Hivi bado hamjastuka kuwa huo ni mpango kamambe wa familia hiyo fisadi kujitwalia fedha za nchi?
Hapo inatengenezwa himaya ya untouchables, ni awamu ya mwisho hii jamani tukumbuke!
Bila hivyo yale majumba yanayoonekana pale kijijini kwake yataishaje?
Kila mtu kapewa hesabu ya kuwasilisha jioni!...huh!
Mkuu,
Hiyo ni mbaya sana endapo machafuko yakitokea au uongozi mwingine ukiingia kama ule wa hayati Levi Mwanawasa (Zambia LT President) kile kiji pale chalinze kwa mzee na ule msikiti opposite kwenda kwa lile jumba la kifahali litapotea kwa muda mchache sana. Unajua hakua kitu mbaya kama uongozi wa kifamilia, sasa sielewi kama President famili huwa wana mshauri wa kuwaelezea kumbuka JFK huko USA. ingawa wengine walibaki kwa siasa ila msukosuko walioupita mmmh.
kwa ushauri wangu wa bure familia isijingize kwenye siasa kiasi hicho inaleta picha mbaya sana kwa nchi maskini kama TZ wanachi watafikilia vipi hiyo familia??
Mimi sioni makosa kwa mke wa rais kumpigia kampeni mume wake kama anazo hoja za msingi za kuwashawishi wananchi kwamba mume wake anafaa kutuongoza. Hoja ya msingi si uwepo wa mke wa rais katika kampeni bali ni hoja ambazo mke wa rais anajenga kuwashawishi wapiga kura.
Nimeona mke wa Barack Obama, akizungukuka USA kufanya shughuli za hapa na pale. Ni kama nayo imekaa kifamilia vile!!!!!!!!!!!
Mkuu umepatia sawia HAYO NDO MAJIBU YA salva bila kukopa sehemu.Mimi sioni makosa kwa mke wa rais kumpigia kampeni mume wake kama anazo hoja za msingi za kuwashawishi wananchi kwamba mume wake anafaa kutuongoza. Hoja ya msingi si uwepo wa mke wa rais katika kampeni bali ni hoja ambazo mke wa rais anajenga kuwashawishi wapiga kura.
Lakini pesa iliyotumika huko US 2008 na BIll Clinton na MIchelle Obama ilikuwa ni ya kampeni zao na zilikuwa accounted for siyo kama hapa mke anatumia pesa za walipa kodi kutoka hazina eti kwa vile ni festi lediTumeona hata USA Bill Clinton alimnadi mke wake wakati ule yuko katika harakati za kuusaka urais wa marekani. Ni kama nayo imekaa kifamilia vile!!!!!!!!!
Nimeona mke wa Barack Obama, akizungukuka USA kufanya shughuli za hapa na pale. Ni kama nayo imekaa kifamilia vile!!!!!!!!!!!
Hivi bado hamjastuka kuwa huo ni mpango kamambe wa familia hiyo fisadi kujitwalia fedha za nchi?
Hapo inatengenezwa himaya ya untouchables, ni awamu ya mwisho hii jamani tukumbuke!
Bila hivyo yale majumba yanayoonekana pale kijijini kwake yataishaje?
Kila mtu kapewa hesabu ya kuwasilisha jioni!...huh!
Nkwazi Mhango anauliza hivi:
"Hivi Kikwete angejibu nini kama angeulizwa [kuhusu] chanzo cha fedha zinazomwezesha mke wake kumpigia kampeni...?"
Source: MwanaHalisi, Septemba 15-21, 2010.
my take:
jifanye salva rweyemamu au hizza tambwe kisha ujibu swali hilo la bw. mhango.