Fred Katulanda
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 380
- 550
hii taarifa ina ukweli kiasi gani?MODS tusaidiane ku-verify!Taarifa ambazo zimenifikia punde zinasema kuwa mhariri wa New habari Danny Mwakiteleko amefariki dunia kiwa anaendelea kupatiwa matibabu Muhimbili. Danny alilazwa hapo kutokana na kupata ajali ya gari usiku wakati akitoka kazini. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!
R.I.P Mpiganaji ni jana tu J.K katoka kumcheck pale Muhi2
I doubt unamaanisha JK yupi maana JK tumjuaye yupo SA.