Mhariri Mtendaji wa Gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea avamiwa na kumwagiwa tindikali akiwa ofisini kwake

Mwandishi wa habari, tena wa kujitegemea na sio wa serikali au wa rais, amemwagiwa acid na mwingine kupigwa mapanga rais wa jamhuri ameacha shughuli zote za taifa na kwenda kuwaona waandishi hospitalini, na kuamuru mmoja apelekwe nje kutibiwa kwa gharama za serikali,

Yaaani rais ameshindwa kumtuma katibu wake, au makamu wake, hata Waziri Mkuu? Why yeye rais had to go there? Pale kitandani aliongea naye nini mgonjwa? Ishu ngumu ya taifa ya madini imemchukua karibu miezi sita kuunda tume, huku wa-Tanzania wote tukiona madini yetu yanaliwa na mikataba ya Buzwagi, hii haikuwa tatizo kwa rais akaendelea kusafiri tu nje! Lakini hii ya tindikali akakimbia mbio hospitali na kuacha kila kitu! kulikoni? WHY?

Muungwana, wakati umefika sasa wa kuhesabiwa, kuanzia wewe na sisi wote wananchi, kuna viongozi wanatakiwa kuondolewa now, I mean sasa! Viongozi wasioweza kazi waondolewe sasa maana sasa wakianza mambo ya tindikali, na sisi wananchi tutawamwagia pia tena mpaka michanga kwenye mikutano kama tulivyowazomea, yaani watuibie halafu waanze kutumwagia tindikali? Hakuna siri katika maisha, wewe unajua waliofanya hiki kitendo kiovu na kwenda kwako hospitali ndio kabisaa kunaleta mashaka makubwa kwa jamii na mimi ningekuwa ni wewe ningeondoa washauri wanaokushauri kukimbia hospitali, badala ya kubaki ofisini kupambana na waliowatuma kwenda kuwamwagia wananchi wawili tindikali,

wewe kaa chini and look at this, kwanza Richmond, Radar, Buzwagi, Ndege ya rais, mafisadi, na sasa tindikali, what is next? Kitendo cha wewe rais wa jamhuri kwenda hospitali ni kuwapa ushindi waliohusika kwamba mpaka wewe rais wa jamhuri umeogopa, sasa kaa ofisini waondoe, sio lazima tuwataje kwanza! Waondoe sasa maana wananchi tumechoka na kuacha shughuli za maendeleo na kubaki kila siku kuwinda mafisadi!
 
Mkuu FMES,
Pole kwa masahibu...........lakini nimesoma somewhere kwamba invisible kakurekebishia mambo,sasa nashangaa kama bado unataabika. pole sana.
 
1.
Mkuu FMES,
Pole kwa masahibu...........lakini nimesoma somewhere kwamba invisible kakurekebishia mambo,sasa nashangaa kama bado unataabika. pole sana.

Mkuu Y,

Heshima mbele, hatimaye umerekebishwa na pia heshima kwa wote wengine waliojaribu kwa kila njia kunisaidia kuweza kurudi tena kwenye Jf tukufu, Mkuu Invisible ahsante tena kwa kuwepo ontime, ingawa nitakutafuta kwa maelezo zaidi kujua hasa kilichotokea.


Hao wanakupiga fiksi tu mkuu, sasa FBI watakutafuta ili iweje? labda wakuajiri kwa sababu utawasaidia kuwapa dataz za kuwapata wahalifu, FBI si kama polisi yetu ya bongo.

Mkuu sijawahi kuomba kuajiriwa na FBI, na mtumzima kama mimi huwa hatishiwi nyau, labda wewe unisaidie kuelewa FBI wanitafute ili iweje? inaonekana unajua more maana hii statement yako I find it to be very interesting kama sio disturbing! Maana ishu ambayo haikuhusu kuja na maneno kama hayo yako hapo juu I am not sure!

Otherwise, ninaendelea kuwaombea Kubenea, na mkuu Ndimara wapone haraka huku tukiendelea kuwapigia makelele waliohusika maana sio siri kuwa wanafahamika hapa mjini, maana isu kubwa kama hii haiwezi kuwa siri, sasa polisi na serikali yetu wasianze mchezo wa kuigiza, na kuanza kutumia mamillioni ya kodi za wananchi kwa tume ya uchunguzi!

Mkuu YRMNS shukrani mkuu kwa concern!
 

kalamu......

mkuu hapa nilipo sina mbavu kwa kucheka, labda niengezee na mie kdg wanajua zaidi kuendesha BIASHARA YA VIBANDA VYA SIMU.
 

Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…