Ni wakina mvi hao (an educated hunch), this might signal the beginning of the end of mafisadi hao. Mwanahalisi ndio wako mstari wa mbele kabisa kuanika uchafu wao. Pole sana waioathirika. Itabidi waondoe mamilioni ya watu kabla ya kudhani siri zao hazitafichuka wale.
Quote:-
"Taarifa rasmi ni kwamba watu watatu wasiojulikana wamevamia ofisi za Mwanahalisi zilizopo Kinondoni,"
Wakuu heshima mbele, ninaomba kuuliza eti hiii habari inasema kuwa CCM na serikali wanahuska na huu uvamizi? Is that so? Kwenye maoni ya haraka haraka namna hii sometimes we are not doing our big name JF any favors.
Jambo Forum, ni too big kwa this kind of comments bila dataz, mwenye nazo aweke hapa, maana if that is the case wanaweza kuwa ni majambazi waliotumwa na upinzani pia maana hayo magazeti huwalima hata upinzani, tusipande mbegu za fitina na uchonganishi this cheaply, na pia tuheshimu jina letu hapa maana ni kubwa mno kuwa na haya maoni uchwara!

Hizo data unazotaka ni za namna gani? Unataka tukuletee orodha ya barua alizoandikiwa na simu alizopigiwa,za vitisho na lawama kutoka kwa watu wa EL na RA ndipo uamini? Kwa hakika hutavipata hivyo hapa, lakini wanaojua utendaji wa MwanaHalisi, linalosimamiwa na Ndimara, hawawezi kusema kwamba inawezekana majambazi wametumwa na opposition...Hii ni thinkng yao hao hao wanaotaka kutufanya sisi wengine hatuna akili...Wengi wanaoandika hapa wanajua kinachoendelea kati ya serikali na gazeti hilo, ambalo kina Mkono, Karamagi, na mafisadi wengine walisema 'hawatalipeleka mahakamani' kwa sababu halina hela ya kuwalipa. Ushahidi upo. Soma makala za gazeti hilo na za Ndimarar mwenyewe katika gazeti hilo na Tz Daima...na kwenye blogu yake...Kama wewe unasubiri ushahidi unaoshikika, subiri tu lakini damu ya wenzio imeshwamwagika....
Masatu,
Funguka akili haraka, think fast na gundua yaliyofichika. Hatuna sababu ya kuwatuhumu serikali bila sababu katika hili. Kama huwezii ku-think fast katika suala hili, basi jipe muda uone mambo yatakavyo-unfold. Kumbe tunaishi nchi moja, lakini hatujuani!
Kama kweli "unathink fast" ungeona kuwa kama kuna "mkono" wa serikali wa kwanza kudhuriwa angekuwa Dr Slaa.
Yes, its utterly true we live in the same Country, but we dont know each other...
Quote:-
Kwenye haya maneno yote uliyoyasema hapo juu eti kuna ushaidi, au I am missing something?
Masatu huko kwa kutazama ya Dk Slaa ndiko kunakokufanya uwe slow thinker. Hicho unachokiwaza wenzio wamekiwaza sana, na wanajua kwa nini Dk. Slaa hapaswi hata kujikwaa kwenye jiwe! Nimesema tunaishi kwenye nchi moja lakini hatuijui kwa sababu wewe hujui yaliyomzunguka Kubenea hadi jana...na nimemwambia ES hapo juu kwamba sitarajie kuona ushahidi wa kushikika hapa...yeye bado anataka ushahidi....staili ya mkapa ya kukwepa hoja ya rushwa. Tusi-conclude...we jipe muda tu, utajua haya usiyoyajua...