Tetesi zimeenea kwamba huyo mhasibu ametumia account moja wapo yenye jina Nicolina Paulo Mtatifikolo kama linavyoripoti Dira na tetesi zinaendelea kudadavua kwamba Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Tz kabla hajaolewa alikuwa anaitwa Nicolina Mtatifikolo, ila kwasasa majina hayo hayatumii tena kwasababu alibadilisha jina na kuitwa Mwanahidi Mtandah(tetesi zinadai Mmewe ni Muislam hivyo kabadirisha majina). Tuendelea kufuatilia tupate ukweli kama kweli Huyu (Mama) Mhasibu mkuu wa Serikali ndiye anaye husika.

Kuna mtu anajuwa uhusiano wowote (kiutendaji) kati ya huyu muhasibu na aliyekuwa waziri wa fedha - Mkullo?
Deni la taifa ni 22 trillion, kuna baadhi ya wizara mwaka jana zilipata 30% tu ya bajeti iliyopitishwa na bunge! hela zimeenda wapi?
Sishangai kwa hilo. Mwenzake Mkulo aliamua kuhamishia mamihela yake kwenye akaunti za watoto zake na wakwe zake. Tanzania eeeeeehhh, nchi yetu eeeeeee
Kama habari sio ya kweli na umeiona iweke hapa na sisi tusome tuone uongo wa habari hiyo. Na unapo sema hakuna bank itamruhusu kabwela kuweka M150 unamaanisha nini? Hakuna makabwela pale bank ya makabwela wenye M150 kwenye akaunti zao?
Mohamedi Mtoi,
Hizo ni Billioni ndugu sio Millioni, hata ingekuwa milioni 150 bado benki ingeomba vielelezo and i am sure huyo mhasibu kama ni mwizi asingeweza kuvitoa. Hizo pesa kama zingeingia kwa TISS zingekwama huko huko BOT na uchunguzi ungefanywa mara moja.
Tetesi zimeenea kwamba huyo mhasibu ametumia account moja wapo yenye jina Nicolina Paulo Mtatifikolo kama linavyoripoti Dira na tetesi zinaendelea kudadavua kwamba Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Tz kabla hajaolewa alikuwa anaitwa Nicolina Mtatifikolo, ila kwasasa majina hayo hayatumii tena kwasababu alibadilisha jina na kuitwa Mwanahidi Mtandah(tetesi zinadai Mmewe ni Muislam hivyo kabadirisha majina). Tuendelea kufuatilia tupate ukweli kama kweli Huyu (Mama) Mhasibu mkuu wa Serikali ndiye anaye husika.
Atakua ndiyo huyohuyo tu
Sometimes unabadili jina kwenye baadhi ya documents huku nyingine zikibaki pending kusubiri taratibu Fulani fulani.
Huyo ni wa kukamata immediately.