The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Kwema wakuu,
Kwanza Asante Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kupata kazi.
Pia ambayo bado hajapata usikate tamaa endelea kupambana sana na kumuomba Mungu.
Ipo hivi hapa nina kama miezi mitatu tu mhasibu wa hapa ni mwanamke mama wa Familia Kuna mambo alikua ananifanyia mimi nikawa naona tu kawaida jamaa angu mmoja akaniambia bi mkubwa nakupenda nikamuambia siwezi date nae akaniambia jiongeze fala wewe.
Ikatotkea safari mimi nikasema siendi kumbe kile kitu kikamuuma sana akaniita ofisini maana nilikua nadaiwa hela ya chakula akaniambia kwa nn umekata safari nikamuambia sina hela. Akaniambia nitakulipia kwa hyo niandike jina lako? Nikamuambia andika.
Akafurahi sana alafu akaniambia mwezi huu nakulipia chakula. Sitakii kwenda sana on details maana atanifahami safari ni mwezi wa 9 akaniomba na namba ila bado haja nitafuta wala mm simtafuti.
Ni mawazo yangu tuu au ndiyo ipo hivyo?