Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Acha uongo ihungo ni high school```Naitwa Kaijage Rwegoshora actually I have lost my academic certificates.```
_1.Cheti cha form 4 Ihungo Sec School with Div 1.8._
_2. Cha form 6 Mzumbe Sec School HGL with Div 1.4_
_3. Cha chuo UDSM LLB with First class Law school_
_4. My ATM cards of CRDB with balance of 35 millions & Stanibic bank with balance of 20 millions._
*Nipo Airport Mwl Nyerere naelekea Geneva kwenye meeting so atakayekota aniambie alipo nimtumie ticket aniletee.*
We ndo huijui ihungo... Ina o.level piaAcha uongo ihungo ni high school
Ilianza na O Level na darasa la mwisho liliisha 2011 kama sikoseiAcha uongo ihungo ni high school
Kipindi anasoma haikuwa high school hivyo cheti chake kimeandikwa Ihungo secondary school.Acha uongo ihungo ni high school
Acha ubishi wewe Muha. Vyeti mm nimeviokota na cha o level ni cha Ihungo secAcha uongo ihungo ni high school
Maskini acha uongo Mimi naishi migera mitaa ya kyanyi karibu na chuo. Nikiamuka naiona shule hiyo tena sasa yanajengwa maghorofa ya nguvu ihungo INA high school tu comb za hge,PCB,pcm,cbg tu.We ndo huijui ihungo... Ina o.level pia
Mmmm 2011? Ni zamani sana enzi nasoma shule ya msingi ihungo.Ilianza na O Level na darasa la mwisho liliisha 2011 kama sikosei
Nimesoma hapo High School 2010 - 2012, Tuliwakuta Form 3 & 4 ndo walikuwa wamebaki wakawa wanatuita Nyumbu wa kiangaziMmmm 2011? Ni zamani sana enzi nasoma shule ya msingi ihungo.
Tulikuwa wote darasa moja jamaaNimesoma hapo High School 2010 - 2012, Tuliwakuta Form 3 & 4 ndo walikuwa wamebaki wakawa wanatuita Nyumbu wa kiangazi
Asee, hebu njoo PMTulikuwa wote darasa moja jamaa
yap mzumbe kuna hgl,,,hua nilikua nawaonea huruma sana coz wanakua wakidharaulika mnoKumbe Mzumbe kuna HGL?.....mimi nilikuwa sifahamu
Hata mimi pia!! .....Tulikuwa wote darasa moja jamaa
Nimesoma hapo High School 2010 - 2012, Tuliwakuta Form 3 & 4 ndo walikuwa wamebaki wakawa wanatuita Nyumbu wa kiangazi