Mhaya na mzungu

Mhaya na mzungu

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Mzungu akamdharau sana
Mhaya nakujiona anajua kila
kitu duniani!,

Akamwambia Mhaya
waulizane maswali na Mhaya
akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa
100,000/=.

Mzungu akauliza ni nchi ipi
ilishindwa kwenye vita kuu ya
kwanza ya Dunia?

Mhaya akatoa 500 kuashiria hajui. Na yeye akamuuliza Mzungu ni
kitu gani kikienda juu kina
miguu minne na kikirudi chini
kina miguu mitatu?

Mzungu akafikiria akakosa jibu
akatoa 100,000/= kuashiria
hajui ila akataka kujua,
akauliza ni nini hicho?

Mhaya akatoa 500 kuashiria
hata yeye hajui.

Wahaya bwana.
 
Mzungu akamdharau sana
Mhaya nakujiona anajua kila
kitu duniani!,

Akamwambia Mhaya
waulizane maswali na Mhaya
akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa
100,000/=.

Mzungu akauliza ni nchi ipi
ilishindwa kwenye vita kuu ya
kwanza ya Dunia?

Mhaya akatoa 500 kuashiria hajui. Na yeye akamuuliza Mzungu ni
kitu gani kikienda juu kina
miguu minne na kikirudi chini
kina miguu mitatu?

Mzungu akafikiria akakosa jibu
akatoa 100,000/= kuashiria
hajui ila akataka kujua,
akauliza ni nini hicho?

Mhaya akatoa 500 kuashiria
hata yeye hajui.

Wahaya bwana.[/
mhaya hawezi kuwa na akili mingi hivyo
NB: nasemeshana na kompyuta yangu hapa wakuu
 
Back
Top Bottom