Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Lema,lissu na msigwa wametolewa nje eti kwa sababu ya kuvunja kanuni
watu wanapiga kelele za people's power-naona wanajaribu kukatakata sauti
naibu spika ameagiza watolewe hadi nje ya geti
Pasco ni pen name ya mwana JF, kumfananisha na Pasco mwingine yoyote unayemfahamu wewe na kuposti humu mfanano huo,Pasco naheshimu sana mawazo yako na mijadala unayotoa hapa jamvini.
Bila shaka unashindwa kusema ukweli kwa kuhofia kukosa "tender" za maonyesho mbali mbali wanazokupa.
Sio siri, mimi ni miongoni mwa waliokuwa wakimshutuma Mama Makinda, jana na leo, nimemkumbuka, She is much much better!.Naibu spika is the worst leader in our parliament, second to makinda.
wewe una matatizo ya akili-
Lema sio tuu ni jembe, anaweza kuwa ni zaidi ya jembe, bali ni shoka kabisa au sime ya makali kuwili, asipodhibitiwa ndani ya chama chake, anaweza kuhamashisha maandamano ya wananchi wote, kuelekea Ikulu, kumng'oa rais halali, hivyo anaweza kutenda jinai ya uhaini kwa jina la siasa.
Sio siri, Lema ni hatari, hamungunyi maneno!.
Pasco ni pen name ya mwana JF, kumfananisha na Pasco mwingine yoyote unayemfahamu wewe na kuposti humu mfanano huo,
hiyo ina amount to 'name calling' na adhabu yake ni 'ban', kwa vile naamini umefanya kosa hili bila kujua, Pasco wa JF, amekusamehe, sitakuripoti kwa mode, naomba tuchangie mada na sio mtoa mada!
Hana jipya! anamwaga pumba tupu. Ni aibu kwa wapiga kura wake na kwa mji wa Arusha.
Pasco usitishe watu nani asiyekujua mara nyingi unapotuletea habari unajivisha ngozi ya kondoo kama vipi hakuna mtu aliyekulazimisha wewe leta habari ilivyo sio kuongeza ambayo hayapo mambo ya uhaini wa Lema yanatoka wapi nyamb................f.Pasco ni pen name ya mwana JF, kumfananisha na Pasco mwingine yoyote unayemfahamu wewe na kuposti humu mfanano huo,
hiyo ina amount to 'name calling' na adhabu yake ni 'ban', kwa vile naamini umefanya kosa hili bila kujua, Pasco wa JF, amekusamehe, sitakuripoti kwa mode, naomba tuchangie mada na sio mtoa mada!
hapo kwenye red, ni hatari kwa mafisadi na majangili, ila ni mkombozi na tumaini kwa walalahoi, sisi tunasubiri aongoze mapambano ya kuwang'oa mafisadi ikulu, nakumbuka yale maandamano ya arusha yeye ndo wa kwanza kutokeza bara barani na kusema piipooooosss....ndo wengine wakafuata.
Mkuu usiogope kivuli chako, wapi nimefanya name calling??
Hata kama siye (ingawa ninashaka na utetezi wako) lakini kwa jinsi unavyojaribu kum"brand" Lema kwamba ni mhaini huku ukikiri kwamba hamung'unyi maneno, sihitaji kwenda shule ya kata kujua kwamba una maslahi binafsi na serikali inayoambiwa ukweli bungeni.
Tuendelee kukata issues hayo mengine tuyaache, ila ukitaka ushahidi njoo chemba.
Achana naye huyo Pasco tunaojua kazi yake hatusumbui.Mkuu usiogope kivuli chako, wapi nimefanya name calling??
Hata kama siye (ingawa ninashaka na utetezi wako) lakini kwa jinsi unavyojaribu kum"brand" Lema kwamba ni mhaini huku ukikiri kwamba hamung'unyi maneno, sihitaji kwenda shule ya kata kujua kwamba una maslahi binafsi na serikali inayoambiwa ukweli bungeni.
Tuendelee kukata issues hayo mengine tuyaache, ila ukitaka ushahidi njoo chemba.
Kuhusu Utaratibu: Waziri Lukuvi,
Ameomba muongozo kuhusu kanuni ya 64 ikivunjwa na hotuba nzima ya kambi ya upinzani. Amesema wabunge wamekuwa wavumilivu, lakini hajui kama masikio ya Watanzania yatakuwa mavumilivu.
Mwenye kuijua kanuni ya 64 aiweke.
Mhe. Lukuvi anaweke nukuu baadhi ya maneno yaliyokiuka kifungu hicho cha 64.