Lema sio tuu ni jembe, anaweza kuwa ni zaidi ya jembe, bali ni shoka kabisa au sime ya makali kuwili, asipodhibitiwa ndani ya chama chake, anaweza kuhamashisha maandamano ya wananchi wote, kuelekea Ikulu, kumng'oa rais halali, hivyo anaweza kutenda jinai ya uhaini kwa jina la siasa.
Sio siri, Lema ni hatari, hamungunyi maneno!.

Hakuna cha u better wowote shyt is a shyt there is no better shyt.
Hotuba nzuri ila kuna vitu vimekosekana kama kiongozi wa upinzani sijui amekifanya hicho kwa matashi yake mwenyewe au kusahau. Waliouwawa Arusha hawazidi zaidi ya waliouliwa Pemba. Arusha wameuwawa watu 5 wakati pemba inasemekana wamekufa zaidi ya watu 100 na unguja 12 kama sikosei hivyo basi anapopendekeza kuanzishwa kwa CORONER'S COURT TUNAOMBA ICHUNGUZE MAUAJI SI YA ARUSHA BALI PIA YA PEMBA NA UNGUJA KWANI WALE PIA NI WATANZANIA!!!!.
Mengineyo aliyozungumza Mh Lema ni sahihi kwani serikali pamoja na vyombo vya usalama vimelala na wananchi wamechoshwa. St. Augustine aliwahi kusema An unjust law is similar to the society of Lawlessness. Kwa maana ya kiswahili kukiwa hakuna haki katika sheria basi ni sawa tu na jamii isiyofuata sheria yeyote. Huo ni ukweli na wala si uchochezi kwasababu sheria zimewekwa ili kulinda haki na usawa nchini.

Unajifunza kutumia keyboard au??
Hana jipya! anamwaga pumba tupu. Ni aibu kwa wapiga kura wake na kwa mji wa Arusha.[/QUOTEhi ume
We nyamafu kwanza Arusha huishi ,,Umaepata hela ya nyama nini kwa Nepi?? Tafadhali kuwa makini pamoja na vijisenti ulivyopata-🙂

<br / mwisho wa yote naibu spika kawatoa nje tundu lissu, mchungaji na G. LemaDah naibu spika kaamuru lema aruke paragraph moja...lema aligoma kukawa na majibishano kidogo, lema amwambia naibu spika hayupo kusoma ripoti kuitetea serikali so kasema hiyo paragraph iingie kwenye hansadi....

Leo ngoja tuone mwisho wake.

Unapoona unatofautiana na wenzako katika Mambo hasa yanayohusu masllahi ya wengi, basi ujue unatatizo na kimsingi itakuwa unaneemeka na mfumo huo dhalimu.
Hana jipya! anamwaga pumba tupu. Ni aibu kwa wapiga kura wake na kwa mji wa Arusha.
Hana jipya! anamwaga pumba tupu. Ni aibu kwa wapiga kura wake na kwa mji wa Arusha.

Hana jipya! anamwaga pumba tupu. Ni aibu kwa wapiga kura wake na kwa mji wa Arusha.