Hiyo paragraph huenda ilikuwa ni mwiba mchungu kwa watawala ndio maana ikatakiwa kufutwaMbunge wa Arusha, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Mhe. Godbless Lema analichana Jeshi la Polisi!.
Mhe. Lema, anatoa shutuma mbalimbali kwa jeshi hilo, wakati akiwasilisha maoni ya kambi ya upinzani kwenye bajeti ya Mambo ya Ndani.
Amelishutumu Jeshi la Polisi kuhusu serikali kutumia mabavu. Naibu Spika amezuia paragraph fulani isisomwe, Lema akalazimisha kutaka kuisoma kwa kutetea kuwa yeye kama Waziri Kivuli wa Upinzani, asitegemee yuko hapo kuitetea serikali.
Huku akinukuu wapiginia haki maarufu duniani akiwemo Martin Luther King Jnr kuwa 'Amani sio kuweko kwa utulivu, bali kutendwa kwa haki", hivyo Tanzania sio nchi ya amani kwa vile haina haki!
Amelaani mauji yanayofanywa na polisi kama ukwiukwaji mkuu wa haki za binaadamu.
Uchanaji huo wa jeshi la polisi unaofanywa na Mhe. Lema, unafanywa huku Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspecta Jenerali wa Polisi, Said Mwema na makamanda wake wakuu wakiwa wote wako bungeni.
Uptate kwa hisani ya Edson.
Godbless Lema ni mpigania haki wa siku nyingi, nashauri asibezwe!.Amelishutumu Jeshi la Polisi kuhusu serikali kutumia mabavu. Naibu Spika amezuia paragraph fulani isisomwe, Lema akalazimisha kutaka kuisoma kwa kutetea kuwa yeye kama Waziri Kivuli wa Upinzani, asitegemee yuko hapo kuitetea serikali.
Huku akinukuu wapiginia haki maarufu duniani akiwemo Martin Luther King Jnr kuwa 'Amani sio kuweko kwa utulivu, bali kutendwa kwa haki", hivyo Tanzania sio nchi ya amani kwa vile haina haki!
Amelaani mauji yanayofanywa na polisi kama ukwiukwaji mkuu wa haki za binaadamu.
Mkutano wake wa juzi anaonesha serikali ya CCM ni ya kikatili na anatoa mbinu za "kuwabembeleza" ili wakosoaji wawe salama! Ajabu viongozi wa CCM waliopambanuliwa kama waonevu (kubambikia watu case etc) wapo busy kumpongeza Lema!!! Hii nchi bana imevaa kaptula! Badali wamkane Lema wapo busy kumpongeza. Nachoka Bora tu ninywe nifanye mapenzi basi!Godbless Lema ni mpigania haki wa siku nyingi, nashauri asibezwe!.
P
Naunga mkono, kama raha yako ni kunywa na kufanya, then jipe raha, kunywa na fanya!Nachoka Bora tu ninywe nifanye mapenzi basi!
Umeshajipotezea hadhi mzee,huwezi kumshawishi mtu kama mimiGodbless Lema ni mpigania haki wa siku nyingi, nashauri asibezwe!.
P
Hahaha asante senior. Imenichosha watu wanaambiwa ni wabambika case na bado wanamsifu Lema, lazima kichwa kiume!Naunga mkono, kama raha yako ni kunywa na kufanya, then jipe raha, kunywa na fanya!
P
Everybody has a price, sema tuu hawajafika bei yake!, hakuna mkate wowote ni mgumu mbele ya chai, ukiuchovya tuu, unatepeta!, unalainika na kutepeta, unateleza tuu, kuuzamisha tumboni!.Hahaha asante senior. Imenichosha watu wanaambiwa ni wabambika case na bado wanamsifu Lema, lazima kichwa kiume!
P.s. hakuna mangi anatoboa mbele ya kibunda! Mtu pekee mwenye integrity ya kukataa pesa ni Lissu! Mangi hata roho ya mtu anaitoa