Ukiona hivyo ujue badu CCM inaiogopa CUF, huu mtindo wa kuonyesha kurudisha kadi umeshapitwa na wakati, na ukiona hivyo ujue sehemu hiyo inatayarishwa wizi wa kura ,kule walionyesha za chadema na hapa za CUF basi kaeni mkao wa tahadhari katika sehemu hizo CCM lazima itakwiba kura maana pana tishio la wao kushindwa.
Halafu mwana CUF anaweza akarudisha kadi lakini uhakika kura yake haipeleki CCM hata siku moja.