Mhe. John Komba anauza shule yake ya Bakili Muluzi Secondary School

Mhe. John Komba anauza shule yake ya Bakili Muluzi Secondary School

Watu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,471
baada ya ushindani mkali kutoka kwa Shule za kata katika kupata wanafunzi wakutosha kuweza kuendesha shule, wenye shule binafsi wanza kuuzashule zao

Bakili Muluzi Secondary School

TENDER FOR SALE

Tenders are hereby invited from the general public, Private and Religious Organizations; for PURCHASE of BAKILI MULUZI SECONDARY SCHOOL (Form 1-VI) Regist. No. 1373 whose assets include more than ten buildings, on 6 acres of Land Located at MBWENI, Mageti Mawili Kinondoni District

Tenders should deposit a non-refundable 100,000/- Tshs. commitment fee in NBC a/C #049103002008 of Colleta Memorial School in order to collect, or receive tender documents

All Sealed Tenders should be addressed to:
The Director,
Mrs. Salome John Komba
Bakili Muluzi Secondary School
P. O. Box 60161
Dar ws Salaam

Mob: 0715 - 260881
0754 - 260881

Deadline: 27.08.2013
NB: You can also tender through email: memocolleta@yahoo.com

Source: Daily News 13/08/2013
 
tieni tieni kwa moyo mmoja, nambari one eeh nambari one ni ufisadi. Duh km jamaa linasinzia bungeni unadhani walimu wa hiyo shule watalala kabisa
 
Naye anagombea urahisi nini? Amuulize Kambona babu yake
 
Imeanza bendi chalii..pamoja na mbwembwe za kuchukua mpka wakongoman, alitegemea nini kumuachia yule mwanae wa kiume mlevi mbwa Uongozi wa Wanataaluma kama walimu. Alitegemea nini kumuachia mlevi na mpenda mabaamedi kama yule anayekunywa mpaka anajisahau baa. Sijui hata huko shuleni alikuwa anawasimamia vipi watu werevu kama walimu.

Walimu wa siku hizi wanaweza kuingia darasani wasifanye kitu, sasa kama mtu mwenyewe elimu yenyewew aliunga unga FK SCHOOLS unategemea nini hapo?

Baa zote huku mbezi beach zinamtambua, Stela matutina yote anafahamika!
 
inaelekea madili ya sembe na tusker yemeanza kudhibitiwa na makada inabidi waanze kuuza vyao hasa walivyopewa kusimamia kukabiliana na M4C.
 
Imeanza bendi chalii..pamoja na mbwembwe za kuchukua mpka wakongoman, alitegemea nini kumuachia yule mwanae wa kiume mlevi mbwa Uongozi wa Wanataaluma kama walimu. Alitegemea nini kumuachia mlevi na mpenda mabaamedi kama yule anayekunywa mpaka anajisahau baa. Sijui hata huko shuleni alikuwa anawasimamia vipi watu werevu kama walimu.

Walimu wa siku hizi wanaweza kuingia darasani wasifanye kitu, sasa kama mtu mwenyewe elimu yenyewew aliunga unga FK SCHOOLS unategemea nini hapo?

Baa zote huku mbezi beach zinamtambua, Stela matutina yote anafahamika!
hapo penye red, hiyo ni bar? ipo mtaa gani? neno matutina ni lugha gani? ......kumbukumbu zimegoma kuunga........
 
hapo penye red, hiyo ni bar? ipo mtaa gani? neno matutina ni lugha gani? ......kumbukumbu zimegoma kuunga........

AfbeeldingStellaMatutina.jpg
 
hapo penye red, hiyo ni bar? ipo mtaa gani? neno matutina ni lugha gani? ......kumbukumbu zimegoma kuunga........
Hiyo ni bar pamoja na ukumbi wa shughuli mbalimbali mkuu, ipo eneo la kwa-komba barabara ya kuelekea Tegeta. Ni marufu sana hata mtaa barabara inayochepuka kutokea Bagamoyo road (tgt-mwenge) inajulikana kwa jina hilo hilo.
 
Ameanza kufungasha virago mapema huyu,
ameskia harufu ya gharika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Duuhh..alianza yule Mama wa 'Neema trust' na huyiu pia...eti anataka kufungua chuo cha sanaa...????
 
Na waalimu wa hio shule walikomaje? we Mwalimu anafanyakazi mwaka mzima mshahara analipwa miezi 3 tu, Waalimu wemeshampeleka mahakamani huyo mkuu wa shule ambaye ni mke wa komba, mahakama ikaamuru awalipe pesa zao lakin mama akawa naendelea kukata rufaa, sijui kesi yao na waalim imefikia wapi hadi sasaivi kwani mahakama iliamuru zikamatwe mali za shule yakiwepo magari ili yapigwe mnada.
 
Back
Top Bottom