Mhe joshua nassari na mwenge wa uhuru...... Imekaaje nayo hii.......?

Mhe joshua nassari na mwenge wa uhuru...... Imekaaje nayo hii.......?

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
865
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, mkoani Arusha, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Joshua Nassari, ameshikilia msimamo wa kupiga marufuku Mwenge wa Uhuru kufika jimboni kwake na kuwataka wananchi kuupuuza akidai hauna tija kwa maendeleo yao.
 
ndo manake hauna tija ni ujinga tupu
 
Marufuku? Ina maana atauzuia usiingie au vipi?

Maneno halisi aliyosema ni yapi?

Mwenge unaweza usiwe na tija kweli, lakini mie nataka kuijua zaidi hii marufuku imekaaje na itatekelezwaje.
 
Back
Top Bottom