Uzi ungekua na mashiko kama ungesema haya ni maoni yangu!
Tuanzie hapa sasa;
"Haya sio maoni yangu"
Mahakama ndio chombo cha mwisho huku Duniani kinachoweza kusema UNA HATIA au HUNA HATIA na haisemi tu bali kwa kujiridhisha bila shaka kwamba ulitenda au hukutenda kosa.
Hivyo kijana Kaa kwa kujishikilia. Rais Samia ametuonyesha kwamba yeye Hana upande wowote anaoegemea bali anaziachia mamlaka zitende majukumu yake.
REJEA CHACHE HAPA;
1. Sabaya hakutegemea kama angetoswa.
2. Tangia 2012-13 Masheikh wa Uamsho walikua na kesi ya Ugaidi ila ndani ya cku 100 za bi mkubwa waliachiwa huru.
3. Wale miungu watu wamepukutika mmoja baada ya mwingine.
Ahsante