Mhe.Naomba ruhusa niende Misri

Mhe.Naomba ruhusa niende Misri

Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?

Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?

Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
Mweeeeeh!!!!!
IMG-20190628-WA0000.jpeg
 
Nimejifunza Bashite hafai kuwa mhamasishaji wa jambo lolote kwa sababu matokeo yake yatakuwa ni kinyume tu
 
Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964[emoji848]

BONGO TUPE TAARABU, SINGELI NA VIGODORO VYA WENYE VIDUKU LAKINI VIPAJI VYA SOKA WAPE ZAMBIA NA UGANDA[emoji3]
 
Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?

Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?

Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
Swali la nyongeza ndugu spika: Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye uchumi badala ya kuwekeza?
 
Taifa liligawanyika...wote tunaipenda Taifa stars ila kusema ni timu ya serikali, timu ya CCM na inakeleza ilani ya chama Cha mapinduzi amekosea...ukiangalia watu wengi ni Kama wamegawanyika Kati ya Ndugai na mkuu wa mkoa....Aina hii ya ushabiki mwakyembe alipaswa kuikemea Kama Waziri mwenye dhamana..

Tutashinda kama CCM, JE MKUU WA MKOA HAJUI MPIRA HAUSIMAMIWI NA TUME YA UCHAGUZI? HAKUNA GOLI LA MKONO MPIRA NI HAKI.....
 
Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?

Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?

Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?

Wakenya katika Mitandao yao mbalimbali ya Kijamii wameandika hivi Kiongozi.....

" Watanzania bana...yaani Wao walidhani kutuletea Yule Kiongozi wao wa Mkoa mwenye Kiherehere, Matege ya Ubanio na Matako ( Makalio ) makubwa kuliko hata Dada zetu wa Kikenya ndiyo angetutisha Wakenya na Harambee Stars yetu ili tushindwe Kuwafunga? "

Yaani wamepiga mule mule!
 
Dole kama kawa, sisiemu mbele kwa mbele maendeleo hayana chama
 
Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964
emoji848.png
Bora uwakumbushe hili maana wanafurahi kama vile aliyefungwa ni Makonda kumbe tumefungwa sote (Tz) kama nchi.
 
Back
Top Bottom