Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mweeeeeh!!!!!Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?
Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?
Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
Nenda kwenu KaitabaUmejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?
Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?
Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
Unajua inawezekana akawa anashangilia huko aliko kimya kimya [emoji1787][emoji23]aiseee siasa mbaya sanaNdungai hoyeeeee...
Swali la nyongeza ndugu spika: Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye uchumi badala ya kuwekeza?Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?
Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?
Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?
Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?
Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
Kiakiliccm hamasa inazidi uwekezaji...Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?
Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?
Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
Mpaka juu juuu mawinguni.... danadana au chandimu alichezea wapi? π πSie tupe mbwembwe za maneno, mashindano ambayo hatuna uwe wa kuiba kura hatuwezi kushinda kamwe.View attachment 1140636
Bora uwakumbushe hili maana wanafurahi kama vile aliyefungwa ni Makonda kumbe tumefungwa sote (Tz) kama nchi.Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964
Imefungwa team ya CCM awamu ya tano.Bora uwakumbushe hili maana wanafurahi kama vile aliyefungwa ni Makonda kumbe tumefungwa sote (Tz) kama nchi.