mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Wanajamvi
Mhe. Sita ameanza vibaya kwa kuanza kuvunja kanuni
Inayotaka Mhe Rais atangulie kwanza alizindue ndo lianze kazi ya
kwanza kupokea Rasimu na maelezo ya Mkit wa Tume. Akaanzisha hoja kutengua kanuni Rais atanguliwe na mkiti wa Tume MAAJABU.
Hana hata huruma na Mamilioni ya Watanzania kuteketea. Wanasaini na kazi hawafanyi kutokana Spika kutozingatia kanuni.
Mfano walioingia bungeni leo ni 600xtsh.300,000=180,000,000.
3.Hata dua ya kulihairisha bunge hajaisoma wakati anahairisha amendelea kuvunja kanuni.
Alaumiwe kwa kuwa
1.Kuvunja kanuni za kuzindua bunge maalumu ikumbukwe yeye ndo alianzisha hoja na wala si mjumbe aliyesema kanuni zitengulie Jaji amtangulie Rais.
2. Wageni kupewa siku 3 wakati Jaji aliyetembea Tanzania na tume kukusanya maoni ya Wananchi awasilishe kwa Masaa 2 tu.
Hakuona busara kutengua kanuni aongezewe muda hata siku 2 bali wageni tena wa Kenya ambayo sio nchi ya Muungano ni aibu.
3. Kuvuruga shughuli za wiki hii wajumbe wasifanye kilichowapeleka kuanza Semina tena.