Smart mwananchi
Senior Member
- Jul 17, 2014
- 102
- 50
Mhe Sumaye alisema bila kupepesa macho kuwa viongozi wa Dini wanna wajibu wa kukemea na kuwarudisha kwenye njia sahihi wanasiasa akasema namsikia mwanasiasa anasema mnatuingilia...nani kasema mnatuingilia nanukuuu Kosoa Kemea Kemea Amani akipotea kuipata siyo rahisi na ikirudi siyo kama mwanzo...akatoa angalizo pia kuwa msingi wa haki kwenye uchaguzi Mkuu unaanza na zoezi LA uandikishaji hivyo wananchi wanatakiwa waone na wajisikie wametendewa haki kwenye zoezi LA kujiandikisha kama msingi wa Amani kwenye nchi yetu..Mhe. Sumaye alikuwa mgeni rasmi uzinduzi wa DVD KKKT Sinza