Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna wabunge ambao ni kama bado awajaamini kwamba niwabunge Hadi wawe wabunge. Nasema hivyo Kwa Sababu, unapokuwa na Spika WA Bunge ambaye ni mbunge anayewaza matamasha na mchakamchaka kuliko kukaa na wananchi kutatua shida zao unajiuliza tumekosea wapi?
NI wapi Duniani maendeleo yameletwa na matamasha? NI wapi Duniani viongozi wanatumia miaka mitano kukusanya fedha zisizokaguliwa matumizi yake Kwa mgongo wa nafasi walizonazo?
NI fedha kiasi Tulia anakusanya na hakuna sehemu zinqfanyiwa ukaguzi? Hizo fedha zinakwenda kwenye foundation yake Kwa sheria ipi? Je kila analipa Kodi? Kwa mfumo gani?
Kama anaamini kwenye matamasha na anao uhakika kwamba fedha anazopata si Kwa Sababu ya Ofisi yake, atueleze kabla yakuwa spika alikuwa na uwezo wakuamrisha wafanyabiashara waache shughuli zao wakakimbie marathons?
Natamani wazee wetu akina Omben Sefue, Luanjo, Prof Assad, Mzee Ludovik Utto, Mzee Warioba, Mzee Jeseph Butiku na watu wa karba hii wakae na viongozi hawa vijana wawaeleze Does na Don't katika mifumo ya serikali. Wawaeleze maana ya conflicts of interest na mfumo mzima WA maadili ya viongozi wa kitaifa.
Tunapoyafumbia macho haya tunatengeneza mazingira ya utakatishaji fedha kwenye nchi kwamba kesho MTU atatuhumiwa Kwa ubadhirifu atasema nilikusanya kwenye marathon, mtu atafuta njia yakuiba na atajificha kwenye hizi taasisi na mifumo ya upataji fedha isiyokaguliwa.
LAZIMA KAMA SERIKALI WAWEKE UDHIBITI WA MATUMIZI MABAYA YA SERIKALI....MTU ANAANZISHA TULIA FOUNDATION MAY BE KWA NIA NJEMA ILA UZI HUU UMFUMBUE MACHO KWAMBA UPO WAKATI TAASISI KAMA HII INAWEZA KUTUMIKA VIBAYA.
ARUDI KWENYE MAJUKUMU YA MBUNGE , ALINDE NAFASI NA HADHI YA SPIKA KAMA MKUU WA MUIMILI. TULIA FOUNDATION HAIWEZI KUTENGANISHWA NA MUHIMILI WA BUNGE YEYE AKIWA SPIKA.