SOI MSHUMBUE
Member
- Oct 20, 2019
- 10
- 5
Zimeibuka hoja mbali mbali zikiwaaandama nyakati hizi za kuelekea uchaguzi mkuu na ndio safari imeanza muwe na ngozi ngumu na kubwa zaidi endeleeni kuwatumikia wananchi maana waleta hoja wana malemgo yao ya kisiasa wakati Mhe Rais na Waziri na Watanzania wanawatarajia kuendelea kufanya kazi zaidi ya kawaida ili kuendelea kufanya OR TAMISEMI kuwa ya Wananchi.
Tumewavumilia ila tunaona kimya chetu wanaendelea kusambaza hoja za uongo moja mojawapo ni iliyoibuliwa ya mgawanyo wa majimbo mnapotoka ikisema mmehusika katika kugawa majimbo ya Tarime Mjini na Vijijini isivyo kisa hamkuzingatia mila/kabila.
Mtoa hoja akijiita ni miongoni mwa Mwanatarime.
Kama tutakavyoona ukisoma hoja yake utatambua Wanatarime kuaminiwa zaidi ya Wawili katika uteuzi wa Viongozi wa Wizara imekuwa nongwa kwake maana ameanza kueleza mnakotoka.
Anashindwa kuelewa Mhe, Rais Dr JPM haangalii ukabila bali utendaji. Lakini ameshambulia nafasi za Uongozi zinatumika vibaya inawezekana ni majeruhi aliyeumizwa katika uwajibikaji wenu na Mhe Waziri na watendaji wa kuifanya OR TAMISEMI ya WANANCHI sio ya Kabila na watu wachache.
Lakini ukijikita katika hoja ya mgawanyo wa majimbo ya Tarime mjini na Tarime Vijijini.
Mleta maada kwenye hii taarifa yako Kuna Mambo umeyaandika ukihisi una hoja nzito ila logically sio Unaposema inchugu usigawanyike kisa misingi ya kimila ya wazee hakuna logic yoyote Apo labda tu nikukumbushe. Kata hiyo ya binagi tarafa ya inchage (magoma, Nyasaricho na nyamwigura) unayoiongelea wewe ilishawahi kugawawanywa ambapo ilipatikana kata ya kitale tarafa ile ile ya inchage (Mogabiri na Nkongore).
Sasa Kama iliwezekana katika tarafa ya inchage wilaya hiyo hiyo ya tarime Mila zile zile zetu za kikurya kwa Nini isiwezekane ktk tarafa ya Inchugu kisa tu kisingizio Cha Mila kwangu mimi sioni Kama umejenga hoja yeyote zaidi ya majungu kwa uliowalenga?
Mimi ninavyoijua geography ya tarafa ya Inchugu na Koo mzima ya inayoishi hiyo tarafa sizani Kama kuwa majimbo mawili ni kikwazo kwani pia koo iliyopo Inchugu ipo pia Kenya na wakati wa Mila huwa inajumuisha mpaka Kenya Sasa Kama inawezekana adi nje ya mipaka ya nchi mtashindwa kushirikiana kisa tu Koo ipo wilaya/majimbo mawili tofauti?
Naakushauri ujenge hoja kwenye suala la vitega uchumi, huduma za kijamii,nk na sio suala la Mila kwani Hilo huwa halina mipaka huwa tunajuana tu ata Kama mipaka ipo
Utabaini bila shaka mwenzetu analake jambo sio jambo la kitaifa wala la kutuunganisha bali ni muumini wa mila, ukabila katika mambo ya kitaifa ni MTU ambaye hastahili kupewa wadhifa wa kufanya maamuzi katika mazingira watu ni zaidi ya kabila moja na zaidi watu ni wataifa sio wakabila.
YAFUATAYO NI MAPUNGUFU YA HOJA YAKE ANAYOSAMBAZA NCHI NZIMA
Kwanza inawezekana Ana upande kwenye harakati za kisiasa amejenga hoja pia za wahusika kugombea hivyo naye inawezekana ni mgombea mtarajiwa wa Chama cha Upinzani kama huafiki mtazamo huo utagundua ni mtia nia ndani ya Chama au ana mtu ndani ya chama ambaye anaona Mhe Waitara na Katibu mkuu wanamkwamisha yeye au mhusika.
Niwasihi wateule hawa wa Mhe Rais wasonge mbele kuendelea kutumikia Taifa lao wasipoteze muda kujibu hizi kelele za kisiasa zisizo na maslahi katika kujenga Taifa lisilosimama na ukabila.
Kwanini:
1. Mchakato wa Kugawa Majimbo huanzia ngazi ya chini, wilaya, Mkoa na Wizara na anayefanya maamuzi ni Mhe Rais na wasiofahamu Rais yuko kila mahali na hufanya maamuzi baada ya kujiridhisha.
2. Anaowatuhumu ajiulize wameenda lini OR TAMISEMI na mchakato umekuwa pale lini na nani anaughuhulikia.
3. Uongozi huwezi badili maazimio kwa kuwa unatoka unakotoka mchakato.
4. Ukisoma hoja zake utagundua ni siasa za maji taka ngoja niwachafue kwa kuwa anasema wahusika hawajazingatia Mila na Desturi hebu tarazama Rorya kwa mgawanyo walitakiwa wawe wapi kama ukabila na mila zina nafasi kwenye kugawa Kata au Tarafa aangalie Kata nyingine je mila na desturi zimezingatiwa?
Anashindwa kuelewa nchi yetu imeendelea katika maswala ya Ukabila, Udini na mambo mengine Baba wa Taifa alituelimisha kama Taifa tuache udini, ukabila tutasambaratika tukianza kuangalia dini yangu kabila langu.
Mjenga hoja bado zama hizi ni mkabila na anataka Serikali izingatie ukabila wake akisingizia Wazee wamepuuzwa?
Hivi anaelewa Serikali haiko tayari kuona kiongozi akizingatia Mila au Desturi au ukabila maana hoja ya mila mzazi wake ni Ukabila.
Hivi kweli anataka wateule hawa tena wa karibu kama wangehusika uwe ni muda wa OR TAMISEMI ya kuzingatia Ukabila, Mila anawatakia mema kweli?
Nachoshukuru anaiambia Jamii viongozi hawa sio wakabila watu wa mila dini katika kufanya maamuzi.
Hebu tumwelimishe kutokana na kutokuwepo masuala ya Mila na Ukabila ndio maana Kata zingine mila hazijazingatiwa twende mbali tumwambie Tarime hii kwa kutozingatia mila tuko makabila mengi ambayo mila zetu zimeadhiriwa mwambie ni tarime hii wako wajaluo wako wachagga warorya na makabila mengi likiwa na lake muhimu maisha na kufanya kazi kujenga Taifa.
Mwambie kama anataka mambo ya mila atasafiri atazifuata ziliko sasa atuange tukiwa wamoja wataifa na aelewe ikigawanywa anavyotaka watajikuta hao anaotaka kuwa pamoja bado kuna wachagga wasukuma, wajalio,wamwera kwenye hiyo Kata aache kutaka ukabilausimamiwe na wateule wa Mhe, Rais Waitara na Eng Nyamuhanga.
Wakifika kusimamia hoja hizi za kikabila katika nchi isiyokuwa na Ukabila na tarime ya Watanzania toka pande zote karibu tuijenge nchi yetu na Taifa letu Mwl alilotuacha wamoja na wasio wakabila atawafanya wasijue dhamana zao.
5. Ukimsoma mstari kwa mstari 95% hazungumzii hoja ya mgawanyo anazungumzia siasa na anataka aeleweke kuwa Mhe Waitara na Eng Nyamuhanga hawa hawawezi kuwa wabunge.
Ukiona MTU anajenga hoja ya mgawanyo halafu anazungumzia chuki ya kisiasa anawashambulia wengine kisiasa ujue huyo ni Mwanasiasa anayeona hawa ndio watakwamisha.
Masuala ya Mgawanyo wa majimbo umeanza muda mrefu hakutoa hoja za mila na maamuzi yalivyofanywa sio sawa wakati huu ameibuka wakati ambao Mhe Waitara katangaza nia ambapo taratibu za Chama zinaruhusu na anamhusisha Katibu Mkuu Eng Nyamuhanga ambaye nia yake hajaiweka wazi ila yeye anaijua inawezekana amemuuliza sasa kwa kuwa naye inawezekana anataka au mgombea wake anaona aibuke.
Inawezekana Mhe Waitara asingetangaza nia huyu asingeibuka anaibuka wakati huu wa siasa za siasani.
Tumsihi aje kivingine na zaidi sana awaache Watarime nao wawe Viongozi wa Wizara kama anataka yeye awe aendelee kumwomba Mungu ipo siku aliyewajalia ndio Kamnyima akatengeneze na Mungu wake maana ameenda mbali katumia jina la kwanza lisilo lake akalifungamanisha na la ukoo wa Tarime ili aeleweke kama anajiamini na anajua ana hoja njema angeweka simu au email ili apate na mrejesho maana mawazo hayapingwi rungu.
Ndugu Watanzania tuwaepuke watu wa namna hii Hayati Baba wa Taifa alipata kutuasa watu wanaozungumza Mila ukabila uongoze upewe nafasi ni wakabila hawafai wanaleta nyufa za Muungano wetu wamefilisika kisiasa.
6. Tuelewe mhusika kama sio mtia nia au mfuasi au mpinzani huyu atakuwa ameumizwa na utendaji wa Viongozi hawa inawezekana maslahi yake yameguswa yamekwama OR TAMISEMI ni Wizara ambayo ina wahudumia wananchi mpaka imefikia kuitwa TAMISEMI ya Wananchi Viongozi wa Wizara hii kuanzia Mhe, Waziri Suleman Jaffo (MB), Manaibu Waziri wote, Mhe, Katibu Mkuu Eng. Nyamuhanga na wengine wote wamefanya zaidi ya Kawaida ni Mwezi huu tumejuzwa Tathimini ya miaka yao Minne OR TAMISEMI kweli kazi imefanyika yenye kuakisi falsafa ya Mhe Rais ya HAPA KAZI TU na Tanzania ya Viwanda na Sisi ni Tanzania mpya katika mafanikio hayo makubwa rejea Ripoti ya Wizara hii iliyowasilishwa na Mhe Waziri kwa Umma ambapo ipo katika tovuti ya TAMISEMI na kila Halmashauri vitabu vipo utaelewa ni kazi iliyotokana na Viongozi hawa kutokuwa wakabila, undugu, urafiki na zaidi sana kujitoa kuliko kawaida kusimamia maslahi ya Taifa zaidi ya maslahi ya kikundi au wachache.
Niwasihi watajwa hapa wampuuze mtoa hoja na kundi lake wananchi tuna uelewa wa kutosha wa kujua anakotaka kutupeleka kwenye ukabila na mila zake zipewe nafasi kisa Wanatarime wako OR TAMISEMI, Tunamuelewa ana chuki nanyi anatamani kesho hata msiwe Wabunge au Msiendelee kuwa mlipo kuwatumikia Watanzania, Msiendelee kuaminiwa anadhani hatujui mchakato ulivyoanza unavyoendelea na maamuzi anajiona yeye ndio anajua taratibu za mgawanyo wa Majimbo songeni mbele wala msijibu huo muda mnautoa wapi wakati mnawajibu wakuendelea kulitumikia Taifa lenu kuliko kawaida na muda ndio rasilimali muhimu kutekeleza Faslafa za Mhe, Rais, Vision na Mission ya Wizara, kutatua changamoto za Watanzania.
Tunawaombea songeni mbele.
Na.
Great Vision