Bongo joto kali sana air condition ya nguvu. Itakuwa fashion sasa mtu na press conference anafungua zipu. Mnasahau kuuliza maswali yenu yote mnawaza zipu ya mtu zenu mnaangalia mkimaliza nyeto?
Hofu ya Balali unafikiri Mchezo na kidume Balali lazima ninavyomjua atawataja tuu watu. Ila hii mheshimiwa duuu kweli noma hata kama ndio hofu kwa maana kila saa utaenda maliwato lakini haiwezi ikawa ndio shortcut hata kama unakwenda mara kwa mara
Ndiyo hapo watakapolaanika badala ya kumtaarifu wanamldhalilisha kwa kuweka picha kwenye mtandao. Walikusudia nini? Jamani mkubwa dawa eheeee!!!!!!!!!!!!!