Elections 2010 Mhe Zitto Kabwe Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini

Elections 2010 Mhe Zitto Kabwe Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini

Mtu66

Senior Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
165
Reaction score
3
Nimeipata hii...unazunguka kwenye wanabidii net huko.....Kuna mwenye uhakika??
Mhe Zitto Kabwe ahusishwa na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini

Zitto tunaomba maelezo yako kuhusu kuhusika kwako na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini - SMS zilikutwa kwa Mgombea huyo zikikuhusisha wewe ndio maana hukuweza kutokea kwenye Ufunguzi wa Kampeni Za Chadema na hujaonekana Makao makuu ya Chama kitambo
Aibu sana kijana
 
Naona MMeanza sms hizo uMEZIPATAJE kama sio UDAKU, TUMEISHA WASHUTUKIA HABARI YA KUPIKWA
 
Inawezekana bana.Kwa kuwa Zito ni member humu afafanue.
 
Ohhh wamekwishaanza!!!!!
haya mambo yanahitaji uchunguzi wa kina na kama yana ukweli basi yanahitaji majibu ya kina.
lakini all in all, Takukuru wafanye kazi yao...tusihukumu mapema coz hiyo si kazi yetu..
so tusiogope tuhuma coz hazijathibitishwa...
kama watajisikia kufanya hivyo (na ukweli ukiwa hadharani) basi wahusika wana haki ya kutoa ufafanuzi,kukanusha au wanaweza kukaa kimya coz hizi ni tuhuma tu.
 
hawa mbona ni after money, hawa sio watetezi kabisa wa wananchi.

hivi kweli kuna watu wanona kuwa chadema ni kimbilio la wanyonge?

hawa wote ni wasaka tonge na hili linajulikana vyema
 
Kila mtu anajua ufundi wa kujenga na kubomoa,tofauti ni jinsi ya ku implement mawazo yake kwenye mradi wa kubomoa ndio wengi wanapokosea.
Angalia sasa huyu kaja na mawazo yake hafifu ya kubomoa lakini wameshamshtukia.Kajiandae tena na ukija uje na hoja ya ukweli kama utaipata.
maana nina uhakika hutapata kasoro za hawa waheshimiwa Zitto na Slaa ndio maana unawaona wanakosoa na kutoa hujuma za mali ya walalahoi wa Tanzania bila woga,Siko cm wala chadema wala chama chochote,ila nitapiga kura tarehe 31/10/2010 kama ile ya 2005,sitakata tamaa.
 
Nimeipata hii...unazunguka kwenye wanabidii net huko.....Kuna mwenye uhakika??
Mhe Zitto Kabwe ahusishwa na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini

Zitto tunaomba maelezo yako kuhusu kuhusika kwako na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini - SMS zilikutwa kwa Mgombea huyo zikikuhusisha wewe ndio maana hukuweza kutokea kwenye Ufunguzi wa Kampeni Za Chadema na hujaonekana Makao makuu ya Chama kitambo
Aibu sana kijana

Rubbish!
 
hawa mbona ni after money, hawa sio watetezi kabisa wa wananchi.

hivi kweli kuna watu wanona kuwa chadema ni kimbilio la wanyonge?

hawa wote ni wasaka tonge na hili linajulikana vyema

Tumeishawashutukia mnajenga Hoja za hovyo kajiandae kwanza kunywa maji kaoge ndo ulete hoja iliyoshiba
 
Blah blah za mwaka huu, ok Agenda 30th August (Agenda uchonganishi) iko kazini...hatudanganyiki...
 
Zitto na €1,000?...bora angechukua za buzwagi basi.....shame on you threaderbuster
 
Wasiomsoma huyu bwana mdogo shuri yao.....mimi niliishamctukia pale alipo leweshwa na akina rostamu na lowasa ili apige debe mitambo inunuliwe na serikali..................tangu hapo sijawahi kuamini tena km yupo kwa maslahi ya taifa bali yake binafsi ndiyo maana anajifanya yeye ndiyo yeye anafanya kosa kubwa sana ktk mustakabali wake................
Aseme tumsikie
 
Nimeipata hii...unazunguka kwenye wanabidii net huko.....Kuna mwenye uhakika??
Mhe Zitto Kabwe ahusishwa na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini

Zitto tunaomba maelezo yako kuhusu kuhusika kwako na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini - SMS zilikutwa kwa Mgombea huyo zikikuhusisha wewe ndio maana hukuweza kutokea kwenye Ufunguzi wa Kampeni Za Chadema na hujaonekana Makao makuu ya Chama kitambo
Aibu sana kijana
Wewe ni Mbea. Wakati tumemona ata kwenye magazeti amepigwa picha huko na kwenye TV yako ambayo mmewakatia mda. Acha zako.:mad2:
 
Kama nilivyosema humu ndani ni washabiki wa CHADEMA.nahawapendi kukosolewa. ZITTO ni kweli anahusika na hizo tuhuma ila mtamtetea mkidai ni njama za inteligencia wanavuruga,nilishangaa sana magazeti ya mwanahlisi wiki iliyopita walimficha angekuwa ni wa CCM wangemtaja,kumbe mwanahalisi ni bias si gazeti transparency kama nilivodhani. YUle kijana mtuhumiwa alipata kipigo pale makao makuu na vijana wa CHADEMA hawakuripoti.
 
Ule mkakati tuliotaarifiwa kuwa unasukwa kuwagombanisha viongozi wa Chadema sasa umewiva na uko mezani, lakini nauona umechacha. Labda watakula walevi tu wasioweza konja ladha ya kitu.
 
Back
Top Bottom